Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanambeya hatumtaki Tulia, achilia mbali huo uraisi wake wa mabunge, uspika wa bunge hata huo ubunge wake tu hautusaidii wanakoma kumwanya.
Wana Mbeya watamchagua Dr Tulia kwa kishindo. Zama za kuongozwa na wavuta bange na watukanaji zimepitwa na wakati.
 
Huyo mpakwa mafuta naye anajua nini hebu atuache
 

Attachments

  • FB_IMG_1728222456565.jpg
    FB_IMG_1728222456565.jpg
    24.6 KB · Views: 3
Sijui kwenye mikoa yenu, ila kwenye mkoa wetu HATUMTAKI na hata akigombea ujumbe wa nyumba 10 hapati!
 
Hivi ni Spika wa Dunia au Rais wa chama Cha umoja wa wabunge kimataifa. Ambapo sio kila nchi ni mwanachama.
 
Sijui kwenye mikoa yenu, ila kwenye mkoa wetu HATUMTAKI na hata akigombea ujumbe wa nyumba 10 hapati!
Dr Tulia yupo pale mpaka achoke mwenyewe, president wa bunge la dunia hampishe mvaa hereni? Unaota.

Diamond kashampitisha hakuna kitu unaweza fanya.
 
Wasanii wa Tanzania wana bahati kuwa na audience ambayo haipo socially or politically aware kama Kenya, Nigeria na South Africa. La sivyo wengi sana wangeshakuwa cancelled maana kiukweli zaidi ya kuburudisha na kustarehesha, wengi ni good for nothing
Na ndiyo maana wanaishia kubinuliwa na Pdidy.
 
Tulia anampatia Sana diamond show na kumuwekea mazingira yake ya kibiashara vizuri. Hivyo lazima awe upande wake.

Ila Kwa ukubwa ambao amefikia diamond angejaribu kukaa mbali na siasa maana ana fan base kubwa Sana nyuma yake ambayo inamsapoti kuliko hata wanasiasa.
 
Back
Top Bottom