Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame Tulia alivyoongoza mjadala mgumu wenye hisia kali kutoka kwa watu wenye weredi duniani aliongoza kwa ustadi mkubwa bila kuteteleka.

Sisi pia wazalendo wa nchi hii tunaungana na Diamond Platnumz kujivunia kuwa na mwanamama shupavu na kiongozi wa mfano ambaye dunia imezizima kwa uwezo alioonesha kwenye leadership, decision making, public speaking, influencing, supervision nk .

Ama kwa hakika hatupaswi kulipoteza ili jembe kwa sababu ya mihemko ya kisiasa.

Yule mvaa mlegezo anaejua kusoma, kuandika na kutukana matusi ya nguoni ni wakati sasa ajikite kwenye upishi kama mwenzie shilole maana kwenye muziki akiimba watoto wanamcheka.

Soma: Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
P did kamuharbu
 
Wewe ndio ulimshikia Pdidy miguu au mlilimwa wote?
images-143.jpeg
 
Kumaliza Ubishi aende akapige shoo ya Wazi Mbeya halafu akarudie hii kauli yake Jukwaani
 
Bado atalipa kodi, akileta ya Piddy ataipata fresh...
 
Vijana wa kibongo ni wapole hawana uanaharakati kama hao wa Kenya.

Kenya ni masikini sana, ardhi yao yenye rutuba ni sehemu ndogo kulinganisha na ile yenye ukame. Kuanzia Nairobi kuelekea kaskazini mpakani na Somalia ni nchi kame kabisa.

Vijana wao wanakua wakiwa wamechanganyikiwa na maisha kulinganisha na vijana wa Tanzania ambao chakula kwao ni kingi pia hata wangekuwa na elimu hawana hulka za kupigania maslahi yao.
Kuna ukweli kiasi japo na elimu yetu haitufanyi kuwa critical thinkers
 
Diamond amesema nchi imesikia, wewe endelea na habari za kuokoteza
Mimi sina shida na Tulia sijui Tulizo..
Ila siwezi shauriwa na Diamond mambo ya kisiasa.
Nitamsikiliza ushauri wa muziki na milupo.
 
sawa endelea kuwasikiliza hao wengine, ila ccm itashinda tena
 
Hatuwezi kushauriwa na shoga wa P Diddy kuhusu mbunge wetu. Shika adabu wewe chawa wa Tulia
Ndio nakuuliza wakati anafanyiwa hayo mambo na Pdidy wewe ulimshikia miguu au mlikuwa wote?
 
Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame Tulia alivyoongoza mjadala mgumu wenye hisia kali kutoka kwa watu wenye weredi duniani aliongoza kwa ustadi mkubwa bila kuteteleka.

Sisi pia wazalendo wa nchi hii tunaungana na Diamond Platnumz kujivunia kuwa na mwanamama shupavu na kiongozi wa mfano ambaye dunia imezizima kwa uwezo alioonesha kwenye leadership, decision making, public speaking, influencing, supervision nk .

Ama kwa hakika hatupaswi kulipoteza ili jembe kwa sababu ya mihemko ya kisiasa.

Yule mvaa mlegezo anaejua kusoma, kuandika na kutukana matusi ya nguoni ni wakati sasa ajikite kwenye upishi kama mwenzie shilole maana kwenye muziki akiimba watoto wanamcheka.

Soma: Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
tulia mitano tena mbeya
 
Huyu Diamond naye anajichanganya tu kama yeye ana mahaba na Tulia akaseme haya maneno kule kule Mbeya Mjini Jimboni kwa Tulia sio kuandika mtandaoni. sinza pazuri mshauri huyu Diamond akaseme kwenye mkutano wa hadhara mbele ya Wapiga kura wa Tulia.
Ile kuitwa Mke wa P Didy imeshapita na haitobadilika asitake kujipendekeza kwa watu wa Mbeya kwenye mitandao.
 
Boss wako Diamond apunguze uchawa. Tulia ni Spika bora kuwahi kutokea bongo.
 
Back
Top Bottom