Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame Tulia alivyoongoza mjadala mgumu wenye hisia kali kutoka kwa watu wenye weredi duniani aliongoza kwa ustadi mkubwa bila kuteteleka.​
Amwambie Tulia atuletee Pdiddy aje kufanya show kali hapo Lupaso kwa Mkapa
 
Wasanii wa Tanzania wana bahati kuwa na audience ambayo haipo socially or politically aware kama Kenya, Nigeria na South Africa. La sivyo wengi sana wangeshakuwa cancelled maana kiukweli zaidi ya kuburudisha na kustarehesha, wengi ni good for nothing
 
Wanambeya hatumtaki Tulia, achilia mbali huo uraisi wake wa mabunge, uspika wa bunge hata huo ubunge wake tu hautusaidii wanakoma kumwanya.
 
Back
Top Bottom