Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika! Kabla ya kutushauri siye wanambeya amalizane na Diddy kwanza 😁😁😁😁Huyo mpakwa mafuta naye anajua nini hebu atuache View attachment 3127447
Hakika! Kabla ya kutushauri siye wanambeya amalizane na Diddy kwanza 😁😁😁😁
Tulia kafanya vibaya kudhani maswali kaulizwa eti kwa vile yeye ni mwafrika au anatoka poor country, that is inferiority complex, ni SELF STIGMA kajinyanyaapaa mwenyewe!!Wajinga ni hao waliouliza maswali ya mtego, Dr Tulia kawajibu vizuri tu.Usikubali hata siku moja ile dhana ya mzungu kwamba wewe mwafrika ni second class citizen, lazima uonyeshe kuwa unayo haki ya kukalia kiti ulichopewa.
RIP Mandela aliulizwa swali la kijinga kama aliloliuzwa Tulia, kwanini Afrika ya kusini ipo karibu na Muamar Ghadhaffi, akawajibu kwamba adui wa USA sio lazima awe adui wa Afrika ya kusini.
Nimekusikia CHAWA, utaelewa siku utakapotoa akili zako za KUVUKIA barabara mfukoni.Huna lolote la kumzuia Tulia asigombee hapo Mbeya mjini, JPM na Samia ni watu wa chama kimoja. Kama JPM alikuwa anafoka na kutumia nguvu kumbuka Samia anatumia lugha laini lakini lengo lake ni lazima litimizwe.
Tafuta uelewa wa masuala ya mkataba wa TPA kabla hujaongelea kitu usichokifahamu vyema.
Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame Tulia alivyoongoza mjadala mgumu wenye hisia kali kutoka kwa watu wenye weredi duniani aliongoza kwa ustadi mkubwa bila kuteteleka.
Sisi pia wazalendo wa nchi hii tunaungana na Diamond Platnumz kujivunia kuwa na mwanamama shupavu na kiongozi wa mfano ambaye dunia imezizima kwa uwezo alioonesha kwenye leadership, decision making, public speaking, influencing, supervision nk .
Ama kwa hakika hatupaswi kulipoteza ili jembe kwa sababu ya mihemko ya kisiasa.
Yule mvaa mlegezo anaejua kusoma, kuandika na kutukana matusi ya nguoni ni wakati sasa ajikite kwenye upishi kama mwenzie shilole maana kwenye muziki akiimba watoto wanamcheka.
Soma: Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Mkuu, upo sawa maana wale ni wabunge wenziwe, hakuoaswa kuwajibu kama wanafunzi,japo kuwa majibu yake yalikjwa sawa. Ali panic katika kuyajibu.Ondoa upuuzi hapa. Madam Spika amelikoroga, acheni kusifia mediocre.
In international diplomacy. Rule no 1. Never go bananas at the podium. In other words do not over react. Do not show your anger even when justified. Keep calm.
Jibu sahihi kwa uzoefu wangu lingekuwa simply
Regrettably President Zelenskys schedule made it difficult when I asked to visit. I look forward to visiting Ukraine at his earliest convenience.
Ila kutoa direct answers kwenye forums hizo ni hatari... you are always walking
Tatizo lenu ni ushujaa wa nyuma ya keyboard, kuna watu humu ukiwasoma unaweza kudhani huko mtaani moto mkubwa unawaka.Nimekusikia CHAWA, utaelewa siku utakapotoa akili zako za KUVUKIA barabara mfukoni.
Nazijua siasa za Mbeya vizuri, Mbeya pagumu sana, Mbeya ni ngome ya CHADEMA!!!
Mbeya mjini voter's wanaojitambua.
We naona utakuwa mgeni Tanzania/ mgeni Mbeya.
Sugu alikuwa the Most Voted member of Parliament Mbeya kabla ya UCHAFUZI MKUU 😃 wa 2020, alipimpiga mpinzani wake range ya kura 60,0000 upo wewe Mwanamke??
Unaibaje hapo kura?? Subirini mtaona shughuli mwakani!!!
👊👊
Aliwaweka sawa kwa kuwakumbusha kuwa wao kutoka mataifa makubwa na tajiri hawana kibali cha kumnyanyasa spika kutoka nchi maskini ya Tanzania.Mkuu, upo sawa maana wale ni wabunge wenziwe, hakuoaswa kuwajibu kama wanafunzi,japo kuwa majibu yake yalikjwa sawa. Ali panic katika kuyajibu.
Duuu, MBEYA JK Msafara wake ulivurumushwa mawe akiwa Rais, ....Mbeya sio rahis ndugu Joel, tutakuja kutafutana na kuuulizananhapa hapa jukwaani!!Tatizo lenu ni ushujaa wa nyuma ya keyboard, kuna watu humu ukiwasoma unaweza kudhani huko mtaani moto mkubwa unawaka.
Siasa za kutimiza malengo yanayowekwa kwenye ilani ya uchaguzi siku zote zinashinda, usiwaamini sana wale wahuni waliomzomea Zuchu jukwaani, wale hawapigi kura hata siku moja.
Shida ya watu smart wa nchi hii ni wapuuzi. Njaa zinawafanya wakalie ujuzi na maarifa yao.Tunatakiwa tuwe na watu smart kama Tulia kwenye uongozi, mtu anaejua nchi inatakiwa kupita njia zipi kupata maendeleo.
Wewe ni Chawa?Tatizo lenu ni ushujaa wa nyuma ya keyboard, kuna watu humu ukiwasoma unaweza kudhani huko mtaani moto mkubwa unawaka.
Siasa za kutimiza malengo yanayowekwa kwenye ilani ya uchaguzi siku zote zinashinda, usiwaamini sana wale wahuni waliomzomea Zuchu jukwaani, wale hawapigi kura hata siku moja.
Mijadala ya machawa unaita mijadala iliyoshiba.Ukiona mijadala iliyoshiba kama huu epuka kujiaibisha uwe unakaa kando.
Atapelekaje malalamiko wakati yeye alijipeleka mwenyewe? Kwa lugha rahisi ni kwamba aliridhia mafuta🤣Diamond hajapeleka Malalamiko? 🐼
Hili liko wazi,Ukiwa na akili timamu huwezi mpigia kura Sugu ukamuacha Tulia unless una shida mahala 😆😆Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame Tulia alivyoongoza mjadala mgumu wenye hisia kali kutoka kwa watu wenye weredi duniani aliongoza kwa ustadi mkubwa bila kuteteleka.
Sisi pia wazalendo wa nchi hii tunaungana na Diamond Platnumz kujivunia kuwa na mwanamama shupavu na kiongozi wa mfano ambaye dunia imezizima kwa uwezo alioonesha kwenye leadership, decision making, public speaking, influencing, supervision nk .
Ama kwa hakika hatupaswi kulipoteza ili jembe kwa sababu ya mihemko ya kisiasa.
Yule mvaa mlegezo anaejua kusoma, kuandika na kutukana matusi ya nguoni ni wakati sasa ajikite kwenye upishi kama mwenzie shilole maana kwenye muziki akiimba watoto wanamcheka.
Soma: Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
SahihiTulia kafanya vibaya kudhani maswali kaulizwa eti kwa vile yeye ni mwafrika au anatoka poor country, that is inferiority complex, ni SELF STIGMA kajinyanyaapaa mwenyewe!!
Halafu pitch and intonation inaonyesha alivurugwa na maswali, akajibu kwa jazba, asifikiri yupo Bunge la Tanzania ,alizadhani muuliza swali ni LUHAGA MPINA, BABU TALE na Mzee Halima Mdee na Easter Bulaya.
Kujinyanyapaa ni kosa kubwa sana kati ya makosa aliyoyafanya.
Ana lack of confidence, anatumia pia uafrika kujitetetea, alipata nafasi by chance tu!!
Ndio ,Toka Mbeya imekuwa na Tulia imebadilika tofauti na Wabunge waliotangulia wakiwemo waimba hip-hop kina Sugu 😄😄Kumpotezaje? Kwani kila msomi mzuri kama Tulia lazima pia awe mzuri kwenye siasa za ubunge?