Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Pamoja na kuongea vizuri. Ubaguzi hauko Mbeya ! Mbeya wanataka demokrasia sasa wewe unatuletea mambo ya yeye kubaguliwa huko bungeni yanasaidia vipi Mbeya. Ameshidwa kupigania demokrasia nchini kwake! katiba!. Uchaguzi wa kumchagua ulikuwa fake kutokana na waangalizi! Diamond ingemsaidia angejiendeleza kidogo kielimu bila hivyo aendelee kutana mayenu upeo wake wa kisiasa bado ni mdogo
 
Hapo Diamond alishakula mkwanja wake tena amrefu tu ili aropoke na kudangany wana Mbeya, siwezi amini mtu aliyepakwa Baby Oil na P. Diddy tena chumbani kwake wakiwa gizani.
 
Mtamsifia yeye, lkn chamoto tutakipata Kama nchi. Coz mtu mmoja kutafuta umaarufu.
 
Huyu nae juzi juzi tu kaja kutoa povu kwa watu wa Mbeya leo umekuja kuwashauri how come?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…