Diamond Platnumz: Wanaonichukia ni masikini hawana hela

Inategemea na unavyoichukulia, wajua maneno mengine yanakupa motisha wa kupambana sana.
Kuna mwana mama mmoja aliwahi niambia kwamba siku moja alikuwa kapewa lift na mwenzake eti wakiwa pale mwenge mwenzake akamwambia eti yani magari yote haya hapa mjini hakuna hata moja la kwako.
Mama anasema aliumia aksema ni lazima anunue gari, leo hii huyo mama kwake kapanga magari tena ananunua brand new magari heavy nyumbani kwake, ana mijumba ya maana ana matenda huko serikalini.
So get angry or get inspired ulikuwa msemo wa Albert Msando
 
Mbona ulichokiandika sicho alichokiongea? nadhani wewe ni miongoni mwa wale ambao mnamchukia wakati kawazidi kila kitu.
 
Nafikiri hiyo marufuku inamstahili. Anatukana mbele ya mtoto? Usiwathamini au kuwaheshimu wa wenzako, hata wa kwako, kamekukalia mbele yako?
 
Story za kufikirika hz...too much exaggeration
 
Story za kufikirika hz...too much exaggeration
Haimanishi kwamab hilo jambo ndilo lilimfanya awe tajiri ila anasema kila mara alikuwa akikumbuka hiyo kauli yani haya magari yote hapa mjini hakuna hata la kwako moja.
By the namfahamu sana huyo mmama kabla hajafika alipo kapambana sana kafanya yote hadi ufundi wa kupiga rangi kitu ambacho ni adimu kwa akina dada.
 
Diamond anataka apendwe kwani amekuwa cleopatra wa misri?
 
Get angry or get inspired ni msemo wa Msando? Are serious mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…