Diamond Platnumz: Wanaonichukia ni masikini hawana hela

Diamond Platnumz: Wanaonichukia ni masikini hawana hela

Ni kwer lakin chanzo ni tabia....kwani Mr nice alikua hana hela!!! Si alikua nazo...Juma nature je.!!!!!! Iweje wamchukie huyu.....tatzo nyodo..na dharau..wanasema unapokua star usishindane kujibizana na mashabiki Hata kama wakikutukana .....si kila m2 atakuona wa maana ......think abt that
Kila mtu atalipwa sawa sawa na matendo yake
 
Inategemea na unavyoichukulia, wajua maneno mengine yanakupa motisha wa kupambana sana.
Kuna mwana mama mmoja aliwahi niambia kwamba siku moja alikuwa kapewa lift na mwenzake eti wakiwa pale mwenge mwenzake akamwambia eti yani magari yote haya hapa mjini hakuna hata moja la kwako.
Mama anasema aliumia aksema ni lazima anunue gari, leo hii huyo mama kwake kapanga magari tena ananunua brand new magari heavy nyumbani kwake, ana mijumba ya maana ana matenda huko serikalini.
So get angry or get inspired ulikuwa msemo wa Albert Msando
Huyo maza kweli hadangi
 
Back
Top Bottom