Diamond Platnumz: Wanaonichukia ni masikini hawana hela

Mbona hii kitu ya zamani sana aisee....?
Alieileta yuko na chuki binafsi
 
Ni ya muda kidogo ila ndicho kilichopo kwenye ubongo wake.

Aka kajamaa ni kasenge tu, ila ndiyo hivyo jasiri haachi asili kama mama yake wa vile lina atakuwa na adabu arithi kutoka kwa nani??

Mjinga anayemkataa baba yake anaweza kuwa na adabu azipate wapi??
 
Mkuu hujasoma vizuri na kuelewa. Nimekwambia yule mama kahangaika sana hadi ashawahi kuwa mpaka rangi ikiwa a maana ni kati ya mambo aliyofanya wakati ana hustle. Sasa hivi ana kampuni ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali na kampuni ya ujenzi pia. Halafu maishani malengo ni kitu cha msingi. Kuna wauza juice wengi lakini kaja Mac Juice katoboa huenda hata wewe ulikuwa unawaza huwezi kutoboa kupitia uuzaji wa juice.
Malengo na maono ndiyo yanamfanya mtu afike hapo alipo.
Huwezi kuprove kuhusu kuuza kwake ngdada mkuu, watanzania tuna tatizo la kutoamini kwamba mtu anaweza fanikiwa sana kwa juhudi, maarifa na kujituma. Hii ni kwasababu tunapenda kujipa moyo kwamba kufail kwetu kunatokana na sababu kwamba tunafanya vitu halali na waliofanikiwa wanafanya vitu haramu. Yani ni kujipa moyo kisaikolojia
Ujumbe muhimu kwa wale wanaojipa moyo kuwa waliofanikiwa ni kwasababu wamefanya vitu haramu.
 
Lakini wapo wengi wanapesa na bado watamchukia kama akiwaudhi, sio lazima awe masikini
 
Samahani wakuu..nyie mmejiajir au mmeajiriwa...?? kama umejiajir ni lazima ucheze rafu ili kufikia mafanikio, yaweza kuwa kukwepa kodi, kuuza vitu haram, ushirikina, dhuluma, udanganyifu n.k...kama umeajiriwa mwajir wako ndo anakiona cha mtema kuni..lazima anacheza rafu yaweza kuwa ww hauijui ili afikie malengo yake..mf wote walioajiriwa na serikali mwajir wao ni raisi..na ndio mana kila siku anapishana jwa waganga ili mambo yaende sawa, wakat mwingine anacheza rafu za dhuluma ili walipwe mishahara....sio kazi rahsi kama unavyofikri....kama we sio mcha Mungu kwelikweli hzi rafu utazicheza tuu hakuna namna...tatizo kwenye kumtegemea Mungu ndo mtiti zaidi
 
Toka nimemaliza chuo sijawahi kuajiriwa mkuu, kitanzania tanzania huwezi fanya biashara ukawa clean kabisa ukalipa kodi inayostahili, na kila kitu bila ujanja hata kidogo na hii ni kutokana na mfumo usiyo rafiki. Lakini sijawahi fanya biashara haramu na maisha yanaenda fresh kabisa.
Watu wanaamini kila aliyefanikiwa freemasons, fisadi, anauza dawa za kulevya, ana ndagu na mengine mengi... Ila siyo kweli
 
Samahani wakuu..nyie mmejiajir au mmeajiriwa...?? kama umejiajir ni lazima ucheze rafu ili kufikia mafanikio, yaweza kuwa kukwepa kodi, kuuza vitu haram, ushirikina, dhuluma, udanganyifu n.k...kama umeajiriwa mwajir wako ndo anakiona cha mtema kuni..lazima anacheza rafu yaweza kuwa ww hauijui ili afikie malengo yake..mf wote walioajiriwa na serikali mwajir wao ni raisi..na ndio mana kila siku anapishana jwa waganga ili mambo yaende sawa, wakat mwingine anacheza rafu za dhuluma ili walipwe mishahara....sio kazi rahsi kama unavyofikri....kama we sio mcha Mungu kwelikweli hzi rafu utazicheza tuu hakuna namna...tatizo kwenye kumtegemea Mungu ndo mtiti zaidi
Nimejiajiri na SIFANYI HAYO USEMAYO, naridhika na ninachokipata. Ndani ya miaka kumi ijayo nitafika ninapotamani kufika kihalali.
 
Tuombe uzima mkuu..mi nakuombea pia...after ten year nitaisakua hii post
 
Duuu matusi kama hayo yanakupaje motisha ya kupambana, Ruge anachukiwa kila leo na hata watu ambao hawajawahi kumuona na pia anapesa but hutakaa umsikie akianza kutukana kwenye mitandao kama hivyo. Lakin nimegundua inategemea na perception ya mashabiki zake
 
Mbona ulichokiandika sicho alichokiongea? nadhani wewe ni miongoni mwa wale ambao mnamchukia wakati kawazidi kila kitu.
Hakuna mwanadamu anayeweza kumzidi mwingine kila kitu..unaweza kukuta tajiri one minute man alafu mgonga mawe 30 minutes...
 
Huyu jamaa ni kiboko kwa maneno machafu yani anajua mijitusi mizito... Kweli alikiba ni bonge la msanii
 
Ni kweli kabisa watu kwenye roho za kimasikini huwa wanachukia mafanikio ya wengine
Ni kwer lakin chanzo ni tabia....kwani Mr nice alikua hana hela!!! Si alikua nazo...Juma nature je.!!!!!! Iweje wamchukie huyu.....tatzo nyodo..na dharau..wanasema unapokua star usishindane kujibizana na mashabiki Hata kama wakikutukana .....si kila m2 atakuona wa maana ......think abt that
 
Mbona ulichokiandika sicho alichokiongea? nadhani wewe ni miongoni mwa wale ambao mnamchukia wakati kawazidi kila kitu.
Wazee wa nyegezi nyie .............huyu jamaa nyodo2 na dharau ndo tatzo linalosababisha kuchukiwa sasa kama hvo anavosema ebu nitajie msanii aliepost matusi kama hayo kwenye socially media
 
Back
Top Bottom