Diamond Platnumz: Wanaonichukia ni masikini hawana hela

The last time I checked, the "braying-boy" has got no "brain" at all!Kwa nini anakwama kuishi na mwanamke?He better be patient! Unaweza kuwa na dolare ila huna akili.Sasa
;omba Mungu akusaidie unachokitaka.
 
Aiseee! Ama kweli hawakukosea waliosema "isiyomfaa akili yake utamdhuru ujinga wake"
Maneno mazito namna hii, yenye busara kama haya, tena yakiwa kwenye tamathali za semi kama hizi na kwenye unyumbulifu na utajiri wa lugha aina hii, hakika huwezi kuyapata usukumani, bilashaka weye Shadeeya utakua Mpwani weye

Kama sio Muunguja au Mpemba basi utakua Mzaramu tena wa Bagamoyo, kama nimekosea huko basi labda mwambao wa bahari ya Tanga au labda asili yako ni Masiwa ya Ngazija/Comoro na kama sio huko basi pengine ulitokea Pwani ya Kusini pande za Kilwa au Sofala
 
We jamaa ni bingwa waku-sugarcoat
 
Kama hili ni saundi kwa huyo dada basi Kibla ileeee naiona kwa mbali
 
Mkuu huwez kuwa tajir kwa kufanya mishe kama hzo..et kupaka rangi uje uwe unanunua magar mapya yamerundikana...huyo kuna sehemu kacheza rafu na wakubwa wa serikalin....hata diamond kacheza rafu sana mpak kufikia hapo, mpka kuuza ngada akilindwa na hao wakwere....acha kabisa haya mambo..utajir wa halali ni ndoto bongo
 
Mkuu hujasoma vizuri na kuelewa. Nimekwambia yule mama kahangaika sana hadi ashawahi kuwa mpaka rangi ikiwa a maana ni kati ya mambo aliyofanya wakati ana hustle. Sasa hivi ana kampuni ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali na kampuni ya ujenzi pia. Halafu maishani malengo ni kitu cha msingi. Kuna wauza juice wengi lakini kaja Mac Juice katoboa huenda hata wewe ulikuwa unawaza huwezi kutoboa kupitia uuzaji wa juice.
Malengo na maono ndiyo yanamfanya mtu afike hapo alipo.
Huwezi kuprove kuhusu kuuza kwake ngdada mkuu, watanzania tuna tatizo la kutoamini kwamba mtu anaweza fanikiwa sana kwa juhudi, maarifa na kujituma. Hii ni kwasababu tunapenda kujipa moyo kwamba kufail kwetu kunatokana na sababu kwamba tunafanya vitu halali na waliofanikiwa wanafanya vitu haramu. Yani ni kujipa moyo kisaikolojia
 
Dogo anaona amefiika! Ulimi uliponza kichwa...![emoji848]
 
Nahisi huyu dogo angeajiri mtu awe mshauri wake wa kifedha
 
Mbona Alikiba watu hawamchukii kwan yeye hana hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…