Aka kajamaa ni kasenge tu, ila ndiyo hivyo jasiri haachi asili kama mama yake wa vile lina atakuwa na adabu arithi kutoka kwa nani??Ni ya muda kidogo ila ndicho kilichopo kwenye ubongo wake.
Ujumbe muhimu kwa wale wanaojipa moyo kuwa waliofanikiwa ni kwasababu wamefanya vitu haramu.Mkuu hujasoma vizuri na kuelewa. Nimekwambia yule mama kahangaika sana hadi ashawahi kuwa mpaka rangi ikiwa a maana ni kati ya mambo aliyofanya wakati ana hustle. Sasa hivi ana kampuni ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali na kampuni ya ujenzi pia. Halafu maishani malengo ni kitu cha msingi. Kuna wauza juice wengi lakini kaja Mac Juice katoboa huenda hata wewe ulikuwa unawaza huwezi kutoboa kupitia uuzaji wa juice.
Malengo na maono ndiyo yanamfanya mtu afike hapo alipo.
Huwezi kuprove kuhusu kuuza kwake ngdada mkuu, watanzania tuna tatizo la kutoamini kwamba mtu anaweza fanikiwa sana kwa juhudi, maarifa na kujituma. Hii ni kwasababu tunapenda kujipa moyo kwamba kufail kwetu kunatokana na sababu kwamba tunafanya vitu halali na waliofanikiwa wanafanya vitu haramu. Yani ni kujipa moyo kisaikolojia
Mkuu hujasoma vizuri na kuelewa. Nimekwambia yule mama kahangaika sana hadi ashawahi kuwa mpaka rangi ikiwa a maana ni kati ya mambo aliyofanya wakati ana hustle. Sasa hivi ana kampuni ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali na kampuni ya ujenzi pia. Halafu maishani malengo ni kitu cha msingi. Kuna wauza juice wengi lakini kaja Mac Juice katoboa huenda hata wewe ulikuwa unawaza huwezi kutoboa kupitia uuzaji wa juice.
Malengo na maono ndiyo yanamfanya mtu afike hapo alipo.
Huwezi kuprove kuhusu kuuza kwake ngdada mkuu, watanzania tuna tatizo la kutoamini kwamba mtu anaweza fanikiwa sana kwa juhudi, maarifa na kujituma. Hii ni kwasababu tunapenda kujipa moyo kwamba kufail kwetu kunatokana na sababu kwamba tunafanya vitu halali na waliofanikiwa wanafanya vitu haramu. Yani ni kujipa moyo kisaikolojia
Samahani wakuu..nyie mmejiajir au mmeajiriwa...?? kama umejiajir ni lazima ucheze rafu ili kufikia mafanikio, yaweza kuwa kukwepa kodi, kuuza vitu haram, ushirikina, dhuluma, udanganyifu n.k...kama umeajiriwa mwajir wako ndo anakiona cha mtema kuni..lazima anacheza rafu yaweza kuwa ww hauijui ili afikie malengo yake..mf wote walioajiriwa na serikali mwajir wao ni raisi..na ndio mana kila siku anapishana jwa waganga ili mambo yaende sawa, wakat mwingine anacheza rafu za dhuluma ili walipwe mishahara....sio kazi rahsi kama unavyofikri....kama we sio mcha Mungu kwelikweli hzi rafu utazicheza tuu hakuna namna...tatizo kwenye kumtegemea Mungu ndo mtiti zaidiUjumbe muhimu kwa wale wanaojipa moyo kuwa waliofanikiwa ni kwasababu wamefanya vitu haramu.
Toka nimemaliza chuo sijawahi kuajiriwa mkuu, kitanzania tanzania huwezi fanya biashara ukawa clean kabisa ukalipa kodi inayostahili, na kila kitu bila ujanja hata kidogo na hii ni kutokana na mfumo usiyo rafiki. Lakini sijawahi fanya biashara haramu na maisha yanaenda fresh kabisa.Samahani wakuu..nyie mmejiajir au mmeajiriwa...?? kama umejiajir ni lazima ucheze rafu ili kufikia mafanikio, yaweza kuwa kukwepa kodi, kuuza vitu haram, ushirikina, dhuluma, udanganyifu n.k...kama umeajiriwa mwajir wako ndo anakiona cha mtema kuni..lazima anacheza rafu yaweza kuwa ww hauijui ili afikie malengo yake..mf wote walioajiriwa na serikali mwajir wao ni raisi..na ndio mana kila siku anapishana jwa waganga ili mambo yaende sawa, wakat mwingine anacheza rafu za dhuluma ili walipwe mishahara....sio kazi rahsi kama unavyofikri....kama we sio mcha Mungu kwelikweli hzi rafu utazicheza tuu hakuna namna...tatizo kwenye kumtegemea Mungu ndo mtiti zaidi
Nimejiajiri na SIFANYI HAYO USEMAYO, naridhika na ninachokipata. Ndani ya miaka kumi ijayo nitafika ninapotamani kufika kihalali.Samahani wakuu..nyie mmejiajir au mmeajiriwa...?? kama umejiajir ni lazima ucheze rafu ili kufikia mafanikio, yaweza kuwa kukwepa kodi, kuuza vitu haram, ushirikina, dhuluma, udanganyifu n.k...kama umeajiriwa mwajir wako ndo anakiona cha mtema kuni..lazima anacheza rafu yaweza kuwa ww hauijui ili afikie malengo yake..mf wote walioajiriwa na serikali mwajir wao ni raisi..na ndio mana kila siku anapishana jwa waganga ili mambo yaende sawa, wakat mwingine anacheza rafu za dhuluma ili walipwe mishahara....sio kazi rahsi kama unavyofikri....kama we sio mcha Mungu kwelikweli hzi rafu utazicheza tuu hakuna namna...tatizo kwenye kumtegemea Mungu ndo mtiti zaidi
Tuombe uzima mkuu..mi nakuombea pia...after ten year nitaisakua hii postNimejiajiri na SIFANYI HAYO USEMAYO, naridhika na ninachokipata. Ndani ya miaka kumi ijayo nitafika ninapotamani kufika kihalali.
nahisi msando mwenyewe aliucopy humu humu kutoka kwa legendary amalinze the catNinaposema msemo wa Msando sijamaanisha kautunga yeye maana yangu alikuwa akipenda kuutmia alipokuwa akipost mali zake instagram.
Hii thread ya 2015 wakati Msando kaanza kuutumia before 2015nahisi msando mwenyewe aliucopy humu humu kutoka kwa legendary amalinze the cat
Get Angry,Get Inspired,It can be you!! Wekeza Kwenye Ardhi. - JamiiForums
Je Anaamini Kwamba anapendwa Na Matajiri Tu?Ni ya muda kidogo ila ndicho kilichopo kwenye ubongo wake.
Hakuna mwanadamu anayeweza kumzidi mwingine kila kitu..unaweza kukuta tajiri one minute man alafu mgonga mawe 30 minutes...Mbona ulichokiandika sicho alichokiongea? nadhani wewe ni miongoni mwa wale ambao mnamchukia wakati kawazidi kila kitu.
Sasa umeandika nini hichi? Embu tafakari kwanza.Hakuna mwanadamu anayeweza kumzidi mwingine kila kitu..unaweza kukuta tajiri one minute man alafu mgonga mawe 30 minutes...
Ni kwer lakin chanzo ni tabia....kwani Mr nice alikua hana hela!!! Si alikua nazo...Juma nature je.!!!!!! Iweje wamchukie huyu.....tatzo nyodo..na dharau..wanasema unapokua star usishindane kujibizana na mashabiki Hata kama wakikutukana .....si kila m2 atakuona wa maana ......think abt thatNi kweli kabisa watu kwenye roho za kimasikini huwa wanachukia mafanikio ya wengine
Wazee wa nyegezi nyie .............huyu jamaa nyodo2 na dharau ndo tatzo linalosababisha kuchukiwa sasa kama hvo anavosema ebu nitajie msanii aliepost matusi kama hayo kwenye socially mediaMbona ulichokiandika sicho alichokiongea? nadhani wewe ni miongoni mwa wale ambao mnamchukia wakati kawazidi kila kitu.