Inategemea na unavyoichukulia, wajua maneno mengine yanakupa motisha wa kupambana sana.
Kuna mwana mama mmoja aliwahi niambia kwamba siku moja alikuwa kapewa lift na mwenzake eti wakiwa pale mwenge mwenzake akamwambia eti yani magari yote haya hapa mjini hakuna hata moja la kwako.
Mama anasema aliumia aksema ni lazima anunue gari, leo hii huyo mama kwake kapanga magari tena ananunua brand new magari heavy nyumbani kwake, ana mijumba ya maana ana matenda huko serikalini.
So get angry or get inspired ulikuwa msemo wa Albert Msando