Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnampenda wewe na nani mkuu?Muache Kiba kama alivyo, hata awe na dharau tunampenda hivyo hivyo
Na mimi.Mnampenda wewe na nani mkuu?
Ni kweli kabisa, Kiba alimlea Baba yake ila domo kamtelekeza Baba yake/Mlezi wake.Kumlinganisha ali na Diamond nikumkosea heshima Diamond
Sawa Shilole umesomeka, angalia tu usije ukaunguza vitunguu huko jikoni.Narudia Tena....Diamond yupo marekeni anatafuta pesa alikiba yupo nyumbani anabishana na wakina mama [emoji23][emoji23] halafu badae diamond akisema anahela kumshinda alikiba mna mind[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa,Kiba alimlea Baba yake ila domo kamtelekeza Baba yake/Mlezi wake.
Unataka kunipangia cha kuchangia? Hilo jukumu umepewa na nani?Acha unazi na ushabiki usio na maana
Unataka kunipangia cha kuchangia? hilo jukumu umepewa na nani?
😂 Ndo ushatutukana sote Sasa sio yeye tu!Na wewe upo humu baba zima unapiga umbea[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo hilo povu unalotema ndio kithibitisho cha wewe kua na akili kubwa?Endelea kukaza kichwa akili ndogo wewe
Kwahiyo hilo povu unalotema ndio kithibitisho cha wewe kua na akili kubwa?
Hii ni JF an open forums,acha kuteseka utapata vidonda vya tumbo,huwezi kumcontrol mtu aandike nini hapa,usiniletee hasira za njaa yako hapa boya wewe.
Sasa hivi ndio umelitambua hilo sio? ukitaka kuheshimiwa,jaribu kujiheshimu na kuheshimu wenzako,aliyekwambia kua mimi ni kijana ni nani?Jaribu kuwa na heshima kijana tumia uhuru wako vizuri ukiwa nyuma ya keyboard sawa hee