B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Sasa hivi ndio umelitambua hilo sio? ukitaka kuheshimiwa,jaribu kujiheshimu na kuheshimu wenzako,aliyekwambia kua mimi ni kijana ni nani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mnampenda wewe na nani mkuu?
Amdhibiti kwani mkewe?Pambana na wewe ili siku moja uje ufunguliwe thread!Tunakumbushana tu jamani ....mwenzio mondi yupo nje kuzitafuta pesa za kigeni akuze pato la nchi .....yeye yupo clause anachambana huku akisema anauza albam [emoji38][emoji38] na albamu yenyewe sizani nyie mnao mtetea Kama mnazo.
Alafu akitika redioni kuchambana na wakina mama mnamsifia eti anajua kuuchuna na lenyewe lisivyo na akili linauchuna [emoji38][emoji38] linachuniana na wanawake yaani dume zima linanunia wanawake [emoji38][emoji38][emoji38] na nyie mnalisifu. Hizo tabia za kununa nuna ni za kike.
Mwanaume gani anae jiita king ameshindwa kumdhibiti mwanamke[emoji38][emoji38][emoji38]
Acheni ujinga
kiba ni boya sana na ana wivu hata ukimwangalia usoni unaonekana.Narudia Tena....Diamond yupo Marekeni anatafuta pesa Alikiba yupo nyumbani anabishana na wakina mama [emoji23][emoji23] halafu badae Diamond akisema anahela kumshinda Alikiba mna mind[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiba alimlea baba,ake kisa baba yake alimlea kiba mwa daimond baba daimod alimtelekeza daimond ndio maana daimond anamtelekeza baba ake .Ni kweli kabisa, Kiba alimlea Baba yake ila domo kamtelekeza Baba yake/Mlezi wake.
Ulikuwepo Wakati anamlea? Acha uongo na umbea kuhusu familia za watuKiba alimlea baba,ake kisa baba yake alimlea kiba mwa daimond baba daimod alimtelekeza daimond ndio maana daimond anamtelekeza baba ake .
Duniani usitegemee mazuri kama unayafanya mabaya
Kukaza kichwa ndio kufanyaje ndugu yangu..., maana nimecheka.Endelea kukaza kichwa akili ndogo wewe
Mbona wewe upo chumba cha giza unawajadili wanaume sisi hatukufokei?Narudia Tena....Diamond yupo Marekeni anatafuta pesa Alikiba yupo nyumbani anabishana na wakina mama [emoji23][emoji23] halafu badae Diamond akisema anahela kumshinda Alikiba mna mind[emoji23][emoji23][emoji23]
Asiķuletee hasira za njaa yake uwongo mkuu?Kwahiyo hilo povu unalotema ndio kithibitisho cha wewe kua na akili kubwa?
Hii ni JF an open forums,acha kuteseka utapata vidonda vya tumbo,huwezi kumcontrol mtu aandike nini hapa,usiniletee hasira za njaa yako hapa boya wewe.
Dharau kwa mwanau ni muhimu sana kwa matumizi ya wapumbavu kama yule libongeMuache Kiba kama alivyo, hata awe na dharau tunampenda hivyo hivyo
Ndio nilikuwepoUlikuwepo Wakati anamlea? Acha uongo na umbea kuhusu familia za watu
Na msiwe mnamfananisha Ally na mashetani na majitu ya ajabu ajabu na majingaMsiwe mnafananisha Diamond na vitu vya kipumbavu