Kiba simpendi kwa sababu moja kujiona anajiona sana na kauli fulani hivi anaboa sana .
Diamond anajiona sometimes na mchukiaga kwa hilo ila anakitu napendaga anaheshimu wadada sio aliozaa nao hapana but anaangalia kama hamisa dai hamuheshimu.
Ila kiukweli huwaheshimu wa dada .
Kiba nope anamadharau halafu tabia hizo hizo mke wake anazo kiba haoni ila ndio hvyo kampendea .
Mtu kaolewa Tanzania anaishi kenya kwao kwani ile harusi ilikuwa video ya nyimbo ya kiba?