Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi


alafu hakuna kitu kibaya kama kutangaza mimba maana akumbuke kua sio wote wanao mpemda sasa kamimba kachanga ashaanza kukatangaza aya ngoja tuendelee kutizama
 
BInafsi siamini kabisa kwamba ana matatizo hasa nikizingatia kwamba mademu wake wenyewe karibu wote(waliopita) hawaonekani kama ni watu waliokuwa tayari kuwa na majukumu ya kulea! Huyu Wema kwa mfano... kabla ya kukutana na Diamond kapita kwa Kanumba, Mwinyi na Charlz Baba... huko kote aliishi nao kama mke na mume lakini hatukuona mimba achulia mbali zile shoe time za akina Mr. Blue, Clement na TID! The same kwa watu kama akina Jokate na Penny.... hawa wote bado wanasumbuliwa na ujana vinginevyo wangekuwa wameshapigwa mimba zamani na watu wengine achilia mbali huyo Diamond!!!

Kuhusu kwamba Dogo anachemka, you're very right! And one of the biggest mistake anayotaka kuifanya hivi sasa ni kutaka ku-prove kwa watu kwamba yupo okay... mimba haifichiki, angeacha tu ijieleze yenyewe lakini no one knows ni namna gani hili jambo lilikuwa linamsumbua... wakati mwingine mtu ukiwa so excited unageuka na kuwa kama mwehu!
 

nikwel maana mwanaume hapaswi kua mpayukaji labda kashindwa kujizuia kutokana na mengi yalozungumzwa kua hana uwezo wa kuwapa wanawake mimba etc sasa ndo kaona atangazie ulimwengu ujue
 

nikwel usemayo yaani imekua kama vile haamini kua nayeye ana uwezo wa kumpachika mwanamke mimba sasa anaona njia pekee ni kuthibitishia ulimwengu kua yeye yuko safi wakat ata asingesema mimba ingeonekana tu natural maana haijifichi
 
Sasha7, sijamlenga mleta mada loveleen, nawazungumzia wale waliokuwa wanamkashifu Diamond kwamba mgumba, that's it! Anyway, am excited with your user ID manake inanikumbusha mbali sana!!!
 
alafu hakuna kitu kibaya kama kutangaza mimba maana akumbuke kua sio wote wanao mpemda sasa kamimba kachanga ashaanza kukatangaza aya ngoja tuendelee kutizama

Sijaona mantiki ya Diamond kufanya haya anayoyafanya, kama ni issue ya yeye kutokuwa na uwezo wa kudunga mimba huwezi kuwanyamazisha watu kwa utoto huu.

Wote tunafahamu tangu enzi ndoa zenye mwanaume hasiyeweza kumpa mimba mkewe wazee wetu walikuwa wanafanyaje kumsitiri mtu na hata kwa Diamond watu wakisema mimba ni ya baunsa wao siwezi kushangaa maana ni Diamond mwenyewe ndio anataka ajadiliwe na kwenye mijadala huwezi kuwapangia watu namna ya kujadili.
 

dogo haamini kabisa kama mpenz wake anamimba yaani furaha aloipata diamond ndio imempelekea kujikuta anapayuka na kutangaza pasi na kukusudia
 
alafu uwezo wake wa kufikiri ni mdogo maana kuna mambo ambayo mtu anapasa kutangaza ila sio mimba Sisi wanawake tunabeba vingi usije shangaa mtu anamimba kuja kujifungua unajigungua kitu cha ajabu sana

ila Mungu amuongoze na amjalie Zari ajifungue salama na ampe kizaz kilo chema
 

Amiynnnnn!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
so sorry dude pamoja saana
peace and love!!!!!!!
worry out, misinterpretation ipo kila mahali na ndio maana wala siku-mind badala yake nikaonelea tu kutoa ufafanuzi... pamoja sana!
 
nikwel usemayo yaani imekua kama vile haamini kua nayeye ana uwezo wa kumpachika mwanamke mimba sasa anaona njia pekee ni kuthibitishia ulimwengu kua yeye yuko safi wakat ata asingesema mimba ingeonekana tu natural maana haijifichi

ni furaha tu mkuu huyu diamond furaha imemzidi ndio maana anakua haamini kama yu mbioni kuitwa baba
 

dogo kweli kachemka kwa kutangaza jambo hili ila naona ni furaha tu sasa anakua kama haamini vile akijisahau kua wakina flan alokua akidate nae kipind kile hawakua tayar kuzaa na kuitwa mama ila ata hao naamini sio wagumba ila hawajawa tayari kuingia katika majukum ya malezi
 
Ameeen! Lakini acha tu haya mambo ya kuwa so excited bhana... haya mambo mtu unaweza kujikuta unagongwa na gari si kwa sababu unamejawa mawazo na huzuni bali you're so happy that you turn careless! Siku moja nilienda hospital... uncle angu alikuwa kapeleka mkewe kujifungua!!! Kimbembe kilikuja pale watu tumekaa lounge wakati uncle kaenda kusikilizia kama wife amejifungua au la! Basi ghafla, jamaa namuona anatoka mkuku anakuja mbio huku akipiga kelele(za kuwa so excited) vibaya mno... wengine na ujinga wetu tukawa tunatarajia kusikia kitu kingine kabisa... kumbe alikuwa anafurahia mkewe kujifungua!!! Trust me, nilimuona kama mwehu anaetupigia kelele bila sababu... kumbe maskini ya Mungu I didn't know how he felt... I didn't know how one feels wife wake anapokuwa labor!!
 

Umri wake hauendani na yeye kuumizwa na swala la mtoto kwanza hajaoa na hata wanawake wenye umri mdogo kama wake hawaumii kutoitwa mama.

Mtu kama Jide akipata ujauzito akafanya haya angalau inaingia akilini.

Tuanze utamaduni wa kuwakemea wasanii wetu wanapokuja na hoja za kipuuzi.
 
***HONGERA SANA DIAMOND AN MRS D'BILLON, MUNGU AWE NANYI***

Ila waTanzania mnatia aibu wengi mnajibu humu roho zimejaa kikorosho, mimba hiyo badi mnalilia muone wameachana. Kwani ni mwanaume wa kwanza kuwa na kuzaa na mwanamke mswenye watoto.

kwanini mnaroho mbaya sana na ndio maana wengi maendeleo hayaendi na mihasira yenu imewajaaa

mnashindwa nini kuwa wish all the best na maisha yao na kuombea mtoto azaliwe salama.

Kwani Chubi anawaibia matonye ya maisha yenu, kwani amewalazimisha mumfatilie na kukasirikia maisha yake?

wengine eti angefanya suprise, kwani kwetu mmemaliza kuzaana si ukafanye huko.

mnataka kumpangia maish aiweje, hiyo picha tu insta hakuna maneno tuliishitukia, na bibie kuvaa nguo hiyo anajua kingejulikana.

muache uswahili na kuwish maisha mabaya kwa watu.

waombeeni mema nanyi mkae vyema. msaniii mnataka kuwa hivi ndugu zenu mnaowaona si mnawaua kabisa na wivu

ndimu hazijaisha kariakooo.... WIVU.COM

mnatia aibu
 


Hivi maisha ya chibu kwanini unayachukia hivyo, hakuna siku unamwongelea vizuri kwa niliyokusoma na wewe jana ndio umetoka kutaka kusafisha jina la mwenzako leo unaandika ya ajabu juu ya mwimbaji anayejitahidi kivyake na maisha ni yake.

amechemsha nini? nitafurahi ukinijibu as nimeona unayasemaga kila mahala
na umesema ana tatizo? kwani alikuja kukuomba msaada? kwani wewe nae ilikuwaje?
anautofauti gani na binadamu wengine hadi mumtakie mabaya?
 
Kila jambo nawakati wake naamini mungu hakpanga itokee kwawote aliopitia japo yy alipanga iweivyo ilamungu alimpangia mwanamke tofauti tena asie atawarika lake na tayari mwenye familia yake ndio aje amzalie tena asie wa nchi yake kikubwa anachotakiwa nikumshkuru mungu kwa aliyomtendea kwani safari kwake ndio kwanza inaanza aheshm naalipotoka hakika atafka salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…