Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
binadam wako tofauti
Sawa:what:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binadam wako tofauti
Mkuu with all due respect naanza kuhisi Diamond ana tatizo linalomtesa ni bora kukaa kimya Mungu kama kakupangia kitu hakuna binadamu wa kupangua.
Yeye ndio aliimba siwezi kung'ang'ania kama siyo fungu langu.
Haya mambo yaone hivi hivi wanazaa kila siku wanawake na wanaume ambao hata pesa ya tax kuwapeleka kujifunguwa hawana.
Dogo anachemka sana kwenye hili, kama ana matatizo kweli mbona yanatibika tu?
BInafsi siamini kabisa kwamba ana matatizo hasa nikizingatia kwamba mademu wake wenyewe karibu wote(waliopita) hawaonekani kama ni watu waliokuwa tayari kuwa na majukumu ya kulea! Huyu Wema kwa mfano... kabla ya kukutana na Diamond kapita kwa Kanumba, Mwinyi na Charlz Baba... huko kote aliishi nao kama mke na mume lakini hatukuona mimba achulia mbali zile shoe time za akina Mr. Blue, Clement na TID! The same kwa watu kama akina Jokate na Penny.... hawa wote bado wanasumbuliwa na ujana vinginevyo wangekuwa wameshapigwa mimba zamani na watu wengine achilia mbali huyo Diamond!!!Mkuu with all due respect naanza kuhisi Diamond ana tatizo linalomtesa ni bora kukaa kimya Mungu kama kakupangia kitu hakuna binadamu wa kupangua.
Yeye ndio aliimba siwezi kung'ang'ania kama siyo fungu langu.
Haya mambo yaone hivi hivi wanazaa kila siku wanawake na wanaume ambao hata pesa ya tax kuwapeleka kujifunguwa hawana.
Dogo anachemka sana kwenye hili, kama ana matatizo kweli mbona yanatibika tu?
Hofu yangu isije ikapotea kama zinavyopoteaga zingine, diamond baba jifunze basi kutu hit na suprise, jaman mwanaume ww siombei baya ila WAT IF mkaachana na Zari b4 "mtoto" hajazaliwa?? Utaenda tena global kumsema alichoropoa?? Mwanaume anatakia awe na hiki kijiformula LESS TALK MORE ACTION ila we bwana mkubwa ni viceversa
BInafsi siamini kabisa kwamba ana matatizo hasa nikizingatia kwamba mademu wake wenyewe karibu wote(waliopita) hawaonekani kama ni watu waliokuwa tayari kuwa na majukumu ya kulea! Huyu Wema kwa mfano... kabla ya kukutana na Diamond kapita kwa Kanumba, Mwinyi na Charlz Baba... huko kote aliishi nao kama mke na mume lakini hatukuona mimba achulia mbali zile shoe time za akina Mr. Blue, Clement na TID! The same kwa watu kama akina Jokate na Penny.... hawa wote bado wanasumbuliwa na ujana vinginevyo wangekuwa wameshapigwa mimba zamani na watu wengine achilia mbali huyo Diamond!!!
Kuhusu kwamba Dogo anachemka, you're very right! And one of the biggest mistake anayotaka kuifanya hivi sasa ni kutaka ku-prove kwa watu kwamba yupo okay... mimba haifichiki, angeacha tu ijieleze yenyewe lakini no one knows ni namna gani hili jambo lilikuwa linamsumbua... wakati mwingine mtu ukiwa so excited unageuka na kuwa kama mwehu!
Sasha7, sijamlenga mleta mada loveleen, nawazungumzia wale waliokuwa wanamkashifu Diamond kwamba mgumba, that's it! Anyway, am excited with your user ID manake inanikumbusha mbali sana!!!msiwe wepes katika kuhukumu watu na ku jump into a conclusion utadhania ww ni msafi au si mtenda maasia mtoa mada kaeleza habar kama ilivyo na maneno ya Diamond mwenyewe yame onekana dhahiri shahiri sasa huo ushadadi wake uko wap???????? hajaongeza chumvi yoyote ile na kila mmoja kaona diamond mwenyewe kwenye kurasa yake alivyotangaza kua kitu kileeeeee kimeshaanza kumuharibia mtu mavazi sasa hayo maneno mengine ya kumkashifu mtoa mada yanatokeA wapi?????? Ni vema tukawa wastaarabu ata kama tumeguswa kwa namna yoyote ile
hakuna mkamilifu chini ya jua kama uliona kateleza mtoa mada ungeweka fact na kumkumbusha na sio kumuita mtu mchawi na kumtolea maneno ya kashfa yasofaa angalia umemkashifu lakin yeye ameku quote kwa maneno mapole yenye hekma mpaka umejiskia vibaya hatuishi ivyo jaman ww nan mpaka umuite mwenzio mchawi una usafi gan ww?????? alie bora mbele ya Mwenyez Mungu ni MCHAMUNGU TU
Kuliko kutukanana na kukashfiana ni vema tuka kumbushana tu
alafu hakuna kitu kibaya kama kutangaza mimba maana akumbuke kua sio wote wanao mpemda sasa kamimba kachanga ashaanza kukatangaza aya ngoja tuendelee kutizama
Baada ya watu kuishiwa hoja humu jamvini wengine hawakuwa na la maana la kuongea zaidi ya "ugumba wa Diamond"... hata pale tulipowauliza watupe ushahidi kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba, hawakuwa nao!! Sasa ikiwa watu mnashinda mitandaoni kujaza posts kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba itakuwa nini hiyo kama sio kufurahia!!! Anyway, all the best... Mungu ndie mpaji lakini wale wote waliokuwa wakimcheka niliwahi kuwauliza hapa wanitajie hao mademu wa Diamond wa zamani wameacha mimba ngapi huko walikotoka ili tuthibitishe kwamba tatizo ni Diamond... si Penny wala Wema Sepetu achilia mbali show time ya Jokate na akina Wolper!
alafu uwezo wake wa kufikiri ni mdogo maana kuna mambo ambayo mtu anapasa kutangaza ila sio mimba Sisi wanawake tunabeba vingi usije shangaa mtu anamimba kuja kujifungua unajigungua kitu cha ajabu sanaSijaona mantiki ya Diamond kufanya haya anayoyafanya, kama ni issue ya yeye kutokuwa na uwezo wa kudunga mimba huwezi kuwanyamazisha watu kwa utoto huu.
Wote tunafahamu tangu enzi ndoa zenye mwanaume hasiyeweza kumpa mimba mkewe wazee wetu walikuwa wanafanyaje kumsitiri mtu na hata kwa Diamond watu wakisema mimba ni ya baunsa wao siwezi kushangaa maana ni Diamond mwenyewe ndio anataka ajadiliwe na kwenye mijadala huwezi kuwapangia watu namna ya kujadili.
alafu uwezo wake wa kufikiri ni mdogo maana kuna mambo ambayo mtu anapasa kutangaza ila sio mimba Sisi wanawake tunabeba vingi usije shangaa mtu anamimba kuja kujifungua unajigungua kitu cha ajabu sana
ila Mungu amuongoze na amjalie Zari ajifungue salama na ampe kizaz kilo chema
worry out, misinterpretation ipo kila mahali na ndio maana wala siku-mind badala yake nikaonelea tu kutoa ufafanuzi... pamoja sana!so sorry dude pamoja saana
peace and love!!!!!!!
nikwel usemayo yaani imekua kama vile haamini kua nayeye ana uwezo wa kumpachika mwanamke mimba sasa anaona njia pekee ni kuthibitishia ulimwengu kua yeye yuko safi wakat ata asingesema mimba ingeonekana tu natural maana haijifichi
BInafsi siamini kabisa kwamba ana matatizo hasa nikizingatia kwamba mademu wake wenyewe karibu wote(waliopita) hawaonekani kama ni watu waliokuwa tayari kuwa na majukumu ya kulea! Huyu Wema kwa mfano... kabla ya kukutana na Diamond kapita kwa Kanumba, Mwinyi na Charlz Baba... huko kote aliishi nao kama mke na mume lakini hatukuona mimba achulia mbali zile shoe time za akina Mr. Blue, Clement na TID! The same kwa watu kama akina Jokate na Penny.... hawa wote bado wanasumbuliwa na ujana vinginevyo wangekuwa wameshapigwa mimba zamani na watu wengine achilia mbali huyo Diamond!!!
Kuhusu kwamba Dogo anachemka, you're very right! And one of the biggest mistake anayotaka kuifanya hivi sasa ni kutaka ku-prove kwa watu kwamba yupo okay... mimba haifichiki, angeacha tu ijieleze yenyewe lakini no one knows ni namna gani hili jambo lilikuwa linamsumbua... wakati mwingine mtu ukiwa so excited unageuka na kuwa kama mwehu!
worry out, misinterpretation ipo kila mahali na ndio maana wala siku-mind badala yake nikaonelea tu kutoa ufafanuzi... pamoja sana!
Ameeen! Lakini acha tu haya mambo ya kuwa so excited bhana... haya mambo mtu unaweza kujikuta unagongwa na gari si kwa sababu unamejawa mawazo na huzuni bali you're so happy that you turn careless! Siku moja nilienda hospital... uncle angu alikuwa kapeleka mkewe kujifungua!!! Kimbembe kilikuja pale watu tumekaa lounge wakati uncle kaenda kusikilizia kama wife amejifungua au la! Basi ghafla, jamaa namuona anatoka mkuku anakuja mbio huku akipiga kelele(za kuwa so excited) vibaya mno... wengine na ujinga wetu tukawa tunatarajia kusikia kitu kingine kabisa... kumbe alikuwa anafurahia mkewe kujifungua!!! Trust me, nilimuona kama mwehu anaetupigia kelele bila sababu... kumbe maskini ya Mungu I didn't know how he felt... I didn't know how one feels wife wake anapokuwa labor!!alafu uwezo wake wa kufikiri ni mdogo maana kuna mambo ambayo mtu anapasa kutangaza ila sio mimba Sisi wanawake tunabeba vingi usije shangaa mtu anamimba kuja kujifungua unajigungua kitu cha ajabu sana
ila Mungu amuongoze na amjalie Zari ajifungue salama na ampe kizaz kilo chema
dogo kweli kachemka kwa kutangaza jambo hili ila naona ni furaha tu sasa anakua kama haamini vile akijisahau kua wakina flan alokua akidate nae kipind kile hawakua tayar kuzaa na kuitwa mama ila ata hao naamini sio wagumba ila hawajawa tayari kuingia katika majukum ya malezi