- Thread starter
-
- #101
hujanielewa ila utakuja kunielewa nilichokuwa namaanisha........kwa kukusaidia tu!game lao lina washiriki wakuu wanne ambao ni wema sepetu,diamond,ivan,king lawrence na washiriki wadogo dogo kina babu tale na rommy jones!.....dhamira ya game hilo ni kusaka umaarufu sambamba na pesa!wivu na visasi vya mapenzi.........suala la mimba kuwa kweli au uwongo nikilizungumzia ntakuwa mnafiki!kama ni kweli basi ni yake diamond kwani kitanda hakizai haramu ila narudia tena hili game walichezalo diamond hawezi kushinda
Hahahah Lawrence humu kwenye game hayupo ni kama mpambe tu wa Ivan ila no more games wao wahusika diamond na zari ndio wajuao nn wanafanya na siku zote ukweli wa mtoto kua baba ake halisi ni yupi anaujua mama tu mengine yatabaki kua maneno tu