Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

kibongobongi kutangaza mimba uchuro maana mijitu ina roho za mamba
 
Kila jambo nawakati wake naamini mungu hakpanga itokee kwawote aliopitia japo yy alipanga iweivyo ilamungu alimpangia mwanamke tofauti tena asie atawarika lake na tayari mwenye familia yake ndio aje amzalie tena asie wa nchi yake kikubwa anachotakiwa nikumshkuru mungu kwa aliyomtendea kwani safari kwake ndio kwanza inaanza aheshm naalipotoka hakika atafka salama.

Kweli mkuu. ...........
 
Hivi maisha ya chibu kwanini unayachukia hivyo, hakuna siku unamwongelea vizuri kwa niliyokusoma na wewe jana ndio umetoka kutaka kusafisha jina la mwenzako leo unaandika ya ajabu juu ya mwimbaji anayejitahidi kivyake na maisha ni yake.

amechemsha nini? nitafurahi ukinijibu as nimeona unayasemaga kila mahala
na umesema ana tatizo? kwani alikuja kukuomba msaada? kwani wewe nae ilikuwaje?
anautofauti gani na binadamu wengine hadi mumtakie mabaya?

Ni wapi niliposema nayachukia maisha ya Diamond?

Yeye ndio anapenda maisha yake yajadiliwe na ndio maana kayaleta mtandaoni.

Basi ili uone tunampenda changia wewe kwa niaba yetu ili sisi kazi yetu iwe kugonga like tu.

Kama kweli unampenda Diamond mshauri aache ujinga kama mimi nilivyomshauri Linda aachane na ujinga.

Je una lingine?
 
Ameeen! Lakini acha tu haya mambo ya kuwa so excited bhana... haya mambo mtu unaweza kujikuta unagongwa na gari si kwa sababu unamejawa mawazo na huzuni bali you're so happy that you turn careless! Siku moja nilienda hospital... uncle angu alikuwa kapeleka mkewe kujifungua!!! Kimbembe kilikuja pale watu tumekaa lounge wakati uncle kaenda kusikilizia kama wife amejifungua au la! Basi ghafla, jamaa namuona anatoka mkuku anakuja mbio huku akipiga kelele(za kuwa so excited) vibaya mno... wengine na ujinga wetu tukawa tunatarajia kusikia kitu kingine kabisa... kumbe alikuwa anafurahia mkewe kujifungua!!! Trust me, nilimuona kama mwehu anaetupigia kelele bila sababu... kumbe maskini ya Mungu I didn't know how he felt... I didn't know how one feels wife wake anapokuwa labor!!

maskin jamani uncle alikua so happy yaani furaha ndo ilimpelekea ashout kwa nguvu haya yote yanatokana na furaha ya ajabu yaani unakua kama huamini vile kumbe nikweli
 
Kila jambo nawakati wake naamini mungu hakpanga itokee kwawote aliopitia japo yy alipanga iweivyo ilamungu alimpangia mwanamke tofauti tena asie atawarika lake na tayari mwenye familia yake ndio aje amzalie tena asie wa nchi yake kikubwa anachotakiwa nikumshkuru mungu kwa aliyomtendea kwani safari kwake ndio kwanza inaanza aheshm naalipotoka hakika atafka salama.

pamoja saana mkuu! !!!!!!!
 
Umri wake hauendani na yeye kuumizwa na swala la mtoto kwanza hajaoa na hata wanawake wenye umri mdogo kama wake hawaumii kutoitwa mama.

Mtu kama Jide akipata ujauzito akafanya haya angalau inaingia akilini.

Tuanze utamaduni wa kuwakemea wasanii wetu wanapokuja na hoja za kipuuzi.

pamoja saana mkuu ujumbe huu utamfikia
 
aisee kila siku najifunza kitu kipya....hivi kutangaza mpenzi wako/mkeo ana mimba ni vibaya!!! hivi dunia hii tunayoishi Diamond ndio mtu wa kwanza kutangaza mpenzi wake ana mimba??!!! nimejifunza kitu kipya leo.
 
atakuja kustuka ivan anachukua mtoto wake hao wanawake sio wa kuamini sana
 
aisee kila siku najifunza kitu kipya....hivi kutangaza mpenzi wako/mkeo ana mimba ni vibaya!!! hivi dunia hii tunayoishi Diamond ndio mtu wa kwanza kutangaza mpenzi wake ana mimba??!!! nimejifunza kitu kipya leo.
Unless kama anatangaza kwa ajili ya kutaka ku-prove kitu coz' hana sababu ya ku-prove kwa yeyote kwa chochote... it's his life awe ana uwezo wa kumpa mimba mwanamke au hana! Lakini ikiwa ametangaza si kwa ajili ya ku-prove chochote na kwa yeyote, binafsi sioni tatizo lolote... Diamond sio mtu wa kwanza na kamwe hatakuwa mtu wa mwisho kutangaza uja uzito wa mwandani wake! Tatizo hapa ni lile lile... kunya anye kuku, akinya bata kaharisha!!

Na hili la kutangaza mademu zake mie nampa big up... hataki unafiki wa wengine! Wasanii karibu wote ni malaya mbwa lakini wanataka kujifanya ni watakatifu mbele ya jamii lakini wanakuja kuumbuka baadae! Sioni sababu ni kwanini mtu ufiche mpenzi wako kama si kwamba unataka uwe unapiga show tofauti tofauti at the same time... wasikilize hata wengine wakati wanahojiwa... wakiulizwa wanatoka na nani, hawasemi kwa sababu wanajua wakisema ni kimbembe... huku kuna X, kule Y upande wa pili kuna Z... atamtaja nani!!! Matokeo yake anaishia kusema "nisingependa kumweka mpenzi wangu hadharani" X akisikia hivyo, anadhani ni yeye, hali kadhalika Y nae anadhani ni yeye na hivyo hivyo kwa Z... yaani tafrani mtindo mmoja!!!
 
Kibongobongo hata tukisafiri hatuagi ng'oo na hata kijijini kwenu siku unaondoka watu hawajui wanastukia siku ya tatu huonekani.

mi niliaga na walinisindikiza na mdundiko....mchawi mpe mtoto akulelee
 
Back
Top Bottom