Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake
Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa kipindi fulani na akeshe studios kwa ajili ya utunzi wa Ngoma mpya!
-Unaweza endelea na show ulaya na kwingineko nje ya Afrika maana huko matendo ya aina hiyo kwao ni ya kawaida.