ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hata P Didy?Hakuna MTU anaweza kumshusha diamond hayupo na hatokuja kutokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata P Didy?Hakuna MTU anaweza kumshusha diamond hayupo na hatokuja kutokea
Kwakweli atampita hata didi kwa utajiri........au ndo atashika nafasi yake baada ya msela kwenda jelaYaani awaogope kina domo kaya? Diamond just go, bado kidogo kuwa tajiri namba moja duniani.
No free bread, itangaa lakini ikizima inazima mazima, aidha awe ana renew kila wakati kama justine lKabisa ukipita kwa didi lazima nyota ing'ae ma grammy kama yote
Umemaliza kila kitu, Uzi ufungwe!!Hakuna MTU anaweza kumshusha diamond hayupo na hatokuja kutokea
😂😂😂🙉Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake, namshauri kwa upepo unaoendelea let her mute, kwa kipindi fulani na akeshe studios kwa ajili ya utunzi wa Ngoma mpya!
Mond anatakiwa atumie vizuri huu upepo kujulikana zaidi na kufikia lile wazo lake la kua tajiri namba moja duniani japo upepo ni mchafu.Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake, namshauri kwa upepo unaoendelea let her mute, kwa kipindi fulani na akeshe studios kwa ajili ya utunzi wa Ngoma mpya!
Let her or Him?Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake, namshauri kwa upepo unaoendelea let her mute, kwa kipindi fulani na akeshe studios kwa ajili ya utunzi wa Ngoma mpya!
Let her mute ndo nini? Kwani we jamaa ungeandika kiswahili mwanzo mwisho ungeanguka kifafa au?Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake, namshauri kwa upepo unaoendelea let her mute, kwa kipindi fulani na akeshe studios kwa ajili ya utunzi wa Ngoma mpya!
Hakuna MTU anaweza kumshusha diamond hayupo na hatokuja kutokea
Umesoma vibaya, review thread!Let her mute ndo nini? Kwani we jamaa ungeandika kiswahili mwanzo mwisho ungeanguka kifafa au?
🤐Let her mute?!
Kulikoni ndugu?
Unakosea alafu unaleta ubishi? Ndo maana niliquote kabla hujaediti na nimeibold na rangi nyekunduUmesoma vibaya, review thread!
Diamond aache shughuli zake kisa wapiga kelele?Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake
Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa kipindi fulani na akeshe studios kwa ajili ya utunzi wa Ngoma mpya!
DIDDYHakuna MTU anaweza kumshusha diamond hayupo na hatokuja kutokea
Kwani hujui Diamond ni mke wa Diddy? Jamaa yuko sahihi kumwita "her"Let her mute?!
Kulikoni ndugu?
Kwa msaada wa diddyYaani awaogope kina domo kaya? Diamond just go, bado kidogo kuwa tajiri namba moja duniani.
😀 😀Jmaa yuko saouth hii skendo itulie kwanza .Kwa msaada wa diddy
marinda yatarudi? na muziki wao mchafu huu wanachafua hadi nafsi za watoto na kuambukiza ujinga wao.Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake
Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa kipindi fulani na akeshe studios kwa ajili ya utunzi wa Ngoma mpya!