Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

Mke wa P didy hapo ndo anafurahi atembee na kiki 😹😹
 
Kama sio kwanini unaleta hizo habari?
Habari zip ambazo nimeleta mim? Mfano wewe ukiwa wa Diddy na mimi nikasema wew ni wa Diddy nitakuwa mimi ndiye nimeleta hizo habari au wewe ndiye umeanza kwa kuwa na Diddy
 
Kama hauna hizo pigo na mhusika mwenyewe hakuna sehemu amesema amefanya huo mchezo kwanini ulazimishe amefanya?
 
Wapi nimesema kafanya hivyo, ntasema kafanya wakati sikuwepo na muhusika hajasema. Hii inabaki kuwa tetesi tu kama tetesi nyingine
 
Hata iwe ni tetesi kama kitu huna interest nacho huwezi kukipa promo
 
Kuzungumzia kitu siyo kukipa promo. Sasa kama swala hilo mimi nikilipa promo ntafaidika na nini mkuu, simjui huyo mtu wa Diddy na wala yeye hanijui, hatuna ushindani wowote wala hatufanyi naye biashara yoyote
 
Kama unajua walikuwa hao hayo mambo ya kupuliana unayatoa wapi

Ukiingia kwa Didi hautoki salama...Subiri list ya FBI ndiyo utajua haujui...CCTV Footage za Siri wanazo Feds.

Kuna cases 120 za DIDI zinanaandaliwa mashataka ,kati ya hao wanaume ni 60 wamepakwa WESE na DIDI...Kama Biba na Miki Miliz wamekiri ,kina Dainamo ni kina nani?
 
Achana na kuumpa promo huyo mpuuzi na haya mambo mnatuharibia siku
 
Back
Top Bottom