Diamond punguza ku show off yako

Mawazo ya kimaskini bwana sa mtu ana ela ana uwezo kwanini asifanye
 
Wazungu wana msemo wao "If you have it, flaunt it'. Kama unacho kionyeshe. Sasa kama kafanya kazi kwa juhudi kwanini asionyeshe matunda yake. Acha wivu mkuu. Kama huna, huna tu hata akionyesha wewe hutopata kama hupaswi kupata. Pambana na hali yako ndugu.
 
Sema kuhonga zawadi zilizo nje ya uwezo uliona nao mleta mada maana kama kuhonga kila mtu anahonga kulingana na uwezo wake, wengine wanahonga gunia la mkaa
 
Hiyo ndio business model yake.
Anatengeneza pesa zaidi kwa kuonyesha persona iliyo expensive.

Ni strategy nzuri.

Hiyo ndio business model yake.
Anatengeneza pesa zaidi kwa kuonyesha persona iliyo expensive.

Ni strategy nzuri.
Mbona wafanyabiashara wakubwa hapa bongo pamoja na kuwa na matajiri kama Mo lakini huwezi kuona wanapost maisha yao ya anasa kwanini asiige ata mfano wa msanii ay pesa anazo lakini hapendi show off mafala wamekuja hapa kunivamia nimuonee wivu mimi ili iwaje nilikuwa natoa ushauri hivi mwenye hela ni diamond tu hapa bongo basi ningekuja na na wivu basi ningekuja kumuongelea mtu kama bahresa au mo mana wao ndio wenye hela zaidi ni mtazamo tu wadau tusijengeane chuki nimekuja na hoja na we njooo kwa hoja wadau sio mnakuja matusi hapa ningepata nafasi yakukuta naye ningemshauri lakini kama shabiki ndo mana nimeanzisha mada hapa mtu anaekushaur akupenda ndo mana sijatumia lugha yamatusi hapa sijui watu wamesoma nilichoandika sijasema hasihonge au hasiishi maisha ya anasa lakini nimesema sio kila jambo lazima apost mitandaoni kuwa kahonga gari ni mtizamo
 
Umeambiwa na jamaa hapo The Dark Father kwamba hiyo ndio BUSINESS MODEL YAKE na kila mtu ana namna yake ya kuingiza fedha...Diamond amegundua kwamba siku hizi wengi mnapenda umbeya basi na yeye kupitia umbeya anaingiza fedha kwa kutengeneza tukio kama ilivyokuwa kwa Shigongo enzi zile hakuna mitandao ya kijamii ambapo aliuza sana magazeti ya udaku kutokana na watu kupenda shughuli za Kimbeyambeya
 
Hizi ni tabia za kuwa mchawi kamili
 
Umbea sio umbeya🤝🤝
 
Sasa nyie maskini badala ya kulipa viingilio vya kwenda kumuona aki perform kwanini hamuchangi hela mkatafuta la kufanya. Kama wewe maskini umetoa hela yako kumpa yeye na unaendelea kufanya ivo, kinachokuuma nini? mnamchangia wenyewe alafu mnalalamika anpospend!
 
Hehehee comments zinafurahisha. Subiri afanye mwingine hivyo atasimangwaa balaa maneno tele. Raha ya kuwa mtanzania hii
Cos diamond ni kipenzi cha watu lakini pia diamond anafanya kwa ajili ya kupata hela lakini wengine wanafanya for nothing hiyo ndio tofauti iliyopo.
 
Aah aah aah! Jibu takatifu umempa mtoa mada
 
Mwenzako anafanya vile na mambo mengine machafu machafu kwaajili ya kuendelea kuliteka soko ......

Kwa sababu anajua kuwa idadi kubwa ya wa tanzania imejaza watu wanaopenda kufuatilia mambo ya kijinga haswaa yanayo endelea huko mitandaoni ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…