shayrose
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 369
- 411
Kwako diamond
Kama kuna mahusiano zari anayajutia na atayajutia katika maisha yake yote basi ni kuwa na mahusiano na mond
Kuwa na mond zari amedhalilishwa sana ametukanwa sana hadi maex wa zari wamevujisha mavideo machafu ya zari.zari amejitahidi kuwa mvumilivu katika mahusiano haya magum
Mond uliambiwa huzai wewe ila zari kakuzalia watoto wakati wanawake wengi walishindwa kukufanyia hvyo.kuna kipind penny alipata mimba yako ila akaitoa kwa madai utamuharibia mtoto kwa domo lako
Kupitia kwa zari na wewe unaitwa baba.mwanzon walitaka DNA ila sasa hv watu hawana shida tena na DNA maana wameshakuona kidume na wewe unaweza kutia mimba
Fikiria watoto wako watakavyo pata tabu mkiachana baba mtz mama muuganda watoto wanaishi south
Aaaa mond kua mwanaume sasa achana na kukitombesha hovyo nje