Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Wee acha myUmri ule lakini bado anawapeleka puta wasichana wadogo mzuri sana zari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee acha myUmri ule lakini bado anawapeleka puta wasichana wadogo mzuri sana zari
SibishiiiiUmefanana na Mangi kwenye duka la jirani. Kama unabisha weka picha.
Angetafuta amani ya moyo angeenda kwa mtu maskini na asiye starDiamond fala kweli, Well i do have a feeling Zari alimpenda Dai kiukweli regardless alikuwa na maisha ya udangaji before kuolewa na Ivan na kisha kupata tabu katika uhusiano na Ivan,,,seems Zari hakuwa kwa furaha ama hawakuwa na chemistry ila alivumilia coz ya hela za jamaa.
At last Zari alijieungua kwa Ivan ili kufata mapenzi na amani ya moyo kwa Diamond ambaye pia alikuwa ameumizwa chemistry ikakubali na hatimae alipata amani. Inshort Zari ana amani sana akiwa kwa Diamond ingawa Diamond anazingua kuzaa zaa nje ila uzuri hamdanganyi Zari.
Mwanamke aliye komaa kiakili (understanding) above 30 yrs wengi ukiwa mkweli kwake na kuomba msamaha kama Gentleman anakusamehe hasa kwa ishu kama hizo. So Diamond kuachana na Zari sio rahisi these guys wana Chemistry
Kwa koment zake nyingi anaonekana ni team mobeto! Usisumbuane nayeJe wewe umefanana na babaako? Tuwekee picha tuone.
Kwako diamond
Kama kuna mahusiano zari anayajutia na atayajutia katika maisha yake yote basi ni kuwa na mahusiano na mond
Kuwa na mond zari amedhalilishwa sana ametukanwa sana hadi maex wa zari wamevujisha mavideo machafu ya zari.zari amejitahidi kuwa mvumilivu katika mahusiano haya magum
Mond uliambiwa huzai wewe ila zari kakuzalia watoto wakati wanawake wengi walishindwa kukufanyia hvyo.kuna kipind penny alipata mimba yako ila akaitoa kwa madai utamuharibia mtoto kwa domo lako
Kupitia kwa zari na wewe unaitwa baba.mwanzon walitaka DNA ila sasa hv watu hawana shida tena na DNA maana wameshakuona kidume na wewe unaweza kutia mimba
Fikiria watoto wako watakavyo pata tabu mkiachana baba mtz mama muuganda watoto wanaishi south
Aaaa mond kua mwanaume sasa achana na kukitombesha hovyo nje
Kuzazaaa ovyo ndio kutamcost huyu kijana ila Zari naye alikuwa kimaslahi zaidi. Kwa ufupi wote wanaharibu maisha ya hawa watoto. Zari mtafutaji mwingine mshereheshaji hapo sasa! Uhusiano wake na Zari unaanza kuyeyuyuka kama barafu. Subirini Zari atatoa bombshell kuhusu watoto tick tock tick tock.......kumekucha! Movie na iendeleeJamaa anafanya makosa ambayo anaweza kabisa kuja kuyajutia. Sidhani kama ataweza kupata mwanamke bora kama Zari kama wataachana. Unataka kugegeda nje siuvae protection ili kuondoa uwezekano wa gonjwa na mimba.
full dataUmejuaje kama wa hamisa ndio halali
Kuzazaaa ovyo ndio kutamcost huyu kijana ila Zari naye alikuwa kimaslahi zaidi. Kwa ufupi wote wanaharibu maisha ya hawa watoto. Zari mtafutaji mwingine mshereheshaji hapo sasa! Uhusiano wake na Zari unaanza kuyeyuyuka kama barafu. Subirini Zari atatoa bombshell kuhusu watoto tick tock tick tock.......kumekucha! Movie na iendelee
Huu ndiyo wakati wa Mondy kuchakarika before it is too late.
Maji yakisha mwagika hayazolek
Umechapia ....kuzaa zaa ni uwingi ukweli jamaa kazaa mara moja njeDiamond fala kweli, Well i do have a feeling Zari alimpenda Dai kiukweli regardless alikuwa na maisha ya udangaji before kuolewa na Ivan na kisha kupata tabu katika uhusiano na Ivan,,,seems Zari hakuwa kwa furaha ama hawakuwa na chemistry ila alivumilia coz ya hela za jamaa.
At last Zari alijieungua kwa Ivan ili kufata mapenzi na amani ya moyo kwa Diamond ambaye pia alikuwa ameumizwa chemistry ikakubali na hatimae alipata amani. Inshort Zari ana amani sana akiwa kwa Diamond ingawa Diamond anazingua kuzaa zaa nje ila uzuri hamdanganyi Zari.
Mwanamke aliye komaa kiakili (understanding) above 30 yrs wengi ukiwa mkweli kwake na kuomba msamaha kama Gentleman anakusamehe hasa kwa ishu kama hizo. So Diamond kuachana na Zari sio rahisi these guys wana Chemistry
Huyo kibibi wala usimuonee huruma cuz yeye ndio muhuni na ndio aliye sababisha husband wake kuwa na presha
Tukio la kumkimbia ivan alee watoto na yeye kwenda kumkimbilia kijana mdogo diamond ilukuwa ni tukio la kijinga na alifanya makusudi kumuumiza ivan
Kuna kipindi walikuwa wanapiga picha wakiwa nusu uchi bafuni nyingine chumbani mara d anamnyonya kwapa hiyo yote kumliza mmewe
Kumbe ivan alikuwa na machozi ya ndani ndani mwishowe hata utajiri wake hakuona faida yake presha ya mawazo ikamuondoa
So chozi la ivan ndilo linalomsumbua na kumtafuna zari
Yaani mwacheni wala msiingilie. Hicho kibibi kimebarikiwa akili ya kusaka hela lakini akili inayoendana na umri wake hakina