Diamond punguza uhuni Zari ndio mwanamke sahihi kwako

Diamond punguza uhuni Zari ndio mwanamke sahihi kwako

Diamond fala kweli, Well i do have a feeling Zari alimpenda Dai kiukweli regardless alikuwa na maisha ya udangaji before kuolewa na Ivan na kisha kupata tabu katika uhusiano na Ivan,,,seems Zari hakuwa kwa furaha ama hawakuwa na chemistry ila alivumilia coz ya hela za jamaa.

At last Zari alijieungua kwa Ivan ili kufata mapenzi na amani ya moyo kwa Diamond ambaye pia alikuwa ameumizwa chemistry ikakubali na hatimae alipata amani. Inshort Zari ana amani sana akiwa kwa Diamond ingawa Diamond anazingua kuzaa zaa nje ila uzuri hamdanganyi Zari.

Mwanamke aliye komaa kiakili (understanding) above 30 yrs wengi ukiwa mkweli kwake na kuomba msamaha kama Gentleman anakusamehe hasa kwa ishu kama hizo. So Diamond kuachana na Zari sio rahisi these guys wana Chemistry
 
Angetafuta amani ya moyo angeenda kwa mtu maskini na asiye star
 
Jamaa anafanya makosa ambayo anaweza kabisa kuja kuyajutia. Sidhani kama ataweza kupata mwanamke bora kama Zari kama wataachana. Unataka kugegeda nje siuvae protection ili kuondoa uwezekano wa gonjwa na mimba.

Kwako diamond

Kama kuna mahusiano zari anayajutia na atayajutia katika maisha yake yote basi ni kuwa na mahusiano na mond

Kuwa na mond zari amedhalilishwa sana ametukanwa sana hadi maex wa zari wamevujisha mavideo machafu ya zari.zari amejitahidi kuwa mvumilivu katika mahusiano haya magum

Mond uliambiwa huzai wewe ila zari kakuzalia watoto wakati wanawake wengi walishindwa kukufanyia hvyo.kuna kipind penny alipata mimba yako ila akaitoa kwa madai utamuharibia mtoto kwa domo lako

Kupitia kwa zari na wewe unaitwa baba.mwanzon walitaka DNA ila sasa hv watu hawana shida tena na DNA maana wameshakuona kidume na wewe unaweza kutia mimba

Fikiria watoto wako watakavyo pata tabu mkiachana baba mtz mama muuganda watoto wanaishi south

Aaaa mond kua mwanaume sasa achana na kukitombesha hovyo nje
 
Jamaa anafanya makosa ambayo anaweza kabisa kuja kuyajutia. Sidhani kama ataweza kupata mwanamke bora kama Zari kama wataachana. Unataka kugegeda nje siuvae protection ili kuondoa uwezekano wa gonjwa na mimba.
Kuzazaaa ovyo ndio kutamcost huyu kijana ila Zari naye alikuwa kimaslahi zaidi. Kwa ufupi wote wanaharibu maisha ya hawa watoto. Zari mtafutaji mwingine mshereheshaji hapo sasa! Uhusiano wake na Zari unaanza kuyeyuyuka kama barafu. Subirini Zari atatoa bombshell kuhusu watoto tick tock tick tock.......kumekucha! Movie na iendelee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huu ndiyo wakati wa Mondy kuchakarika before it is too late.

Kuzazaaa ovyo ndio kutamcost huyu kijana ila Zari naye alikuwa kimaslahi zaidi. Kwa ufupi wote wanaharibu maisha ya hawa watoto. Zari mtafutaji mwingine mshereheshaji hapo sasa! Uhusiano wake na Zari unaanza kuyeyuyuka kama barafu. Subirini Zari atatoa bombshell kuhusu watoto tick tock tick tock.......kumekucha! Movie na iendelee
 
IMO it is not too late to save their love. Both are still in love but it depends on Mondy's reaction to this situation.

Maji yakisha mwagika hayazolek
 
Hivi binamu warumi uko wapi jamani, kuna ubuyu unamwagwa huku ukiwa hauna data kamili, hebu ukuje
 
rungu lili chafuka kwa zari akaenda kulisafisha kwa hamisa raha kweli
 
Diamond fala kweli, Well i do have a feeling Zari alimpenda Dai kiukweli regardless alikuwa na maisha ya udangaji before kuolewa na Ivan na kisha kupata tabu katika uhusiano na Ivan,,,seems Zari hakuwa kwa furaha ama hawakuwa na chemistry ila alivumilia coz ya hela za jamaa.

At last Zari alijieungua kwa Ivan ili kufata mapenzi na amani ya moyo kwa Diamond ambaye pia alikuwa ameumizwa chemistry ikakubali na hatimae alipata amani. Inshort Zari ana amani sana akiwa kwa Diamond ingawa Diamond anazingua kuzaa zaa nje ila uzuri hamdanganyi Zari.

Mwanamke aliye komaa kiakili (understanding) above 30 yrs wengi ukiwa mkweli kwake na kuomba msamaha kama Gentleman anakusamehe hasa kwa ishu kama hizo. So Diamond kuachana na Zari sio rahisi these guys wana Chemistry
Umechapia ....kuzaa zaa ni uwingi ukweli jamaa kazaa mara moja nje

Hapo kwenye Chemistry pia ondoa ....sema wana kiswahili mingi.
 
Huyo kibibi wala usimuonee huruma cuz yeye ndio muhuni na ndio aliye sababisha husband wake kuwa na presha

Tukio la kumkimbia ivan alee watoto na yeye kwenda kumkimbilia kijana mdogo diamond ilukuwa ni tukio la kijinga na alifanya makusudi kumuumiza ivan

Kuna kipindi walikuwa wanapiga picha wakiwa nusu uchi bafuni nyingine chumbani mara d anamnyonya kwapa hiyo yote kumliza mmewe

Kumbe ivan alikuwa na machozi ya ndani ndani mwishowe hata utajiri wake hakuona faida yake presha ya mawazo ikamuondoa

So chozi la ivan ndilo linalomsumbua na kumtafuna zari

Yaani mwacheni wala msiingilie. Hicho kibibi kimebarikiwa akili ya kusaka hela lakini akili inayoendana na umri wake hakina

Acha upumbavu wewe. Ivan walishindana kimapenzi lakini wakaendelea kuwa business partners. Nasibu kakutana na Zari wakati Zari hana mtu. Walishaachana tayari na ivan, wewe unalazimisha tu awe na ivan. Huna akili. Watu wangapi wanaachana na wenza wao kwa kutokuelewana na bado wakawa wazazi wazuri wa watoto wao?

Kwa dunia yako unadhani ndoa ni lazima? Kuna faida gani ya kuwa kwenye ndoa halafu kila siku mnagombana, kutukanana na kudhalilishana mbele ya watoto na public?

Huyo Hamisa amelala na wanaume wangapi kabla ya Mond? Kwa hiyo Mond alimkuta Bkira? Kinachohitajika ni kujiheshimu na kuheshimu mahusiano yenye misingi. Unapompata mtu mkapendana, mkaelewana na kuheshimiana ni vizuru kulinda hayo mahusiano kuliko kujiandiksha mali ya umma.

Zari mnamwita bibi, ana ubibi gani huyo binti mzuri tena ana akili kuliko hii michangudoa inayojilazimisha kwa wanaume hadi mitandaoni? Hamisa, kalazimisha mapenzi kwa nasibu, akamtegeshea ngono uzembe na tangu hapo akaanza kumpiga vita Zari, bila kkupita muda anatangaza mimba ya Mond!. Huoni kama huy siyo mwanamke zaidi ya uchawi?

Katika mischana ya sasa hivi hapa Bongo hakuna kama Zari kwa Diamond. Kinachowaponza ni ujinga, ushamba na ulimbukeni wa kipumbavu.

Zari ni mwanamke safi kwa Nasibu, akendelea kumchezea atatupa shiling chooni aieshi kuhangaika na mi KAHABA kama huyu hamisa. Mwanamke asiye haya wala mafunzo!.

Nasibu acha upumbavu wa kufanay ukahaba. Ukimpoteza Zari, utajuta maishani!
 
Back
Top Bottom