Diamond punguza uhuni Zari ndio mwanamke sahihi kwako

shayrose

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
369
Reaction score
411
Kwako diamond

Kama kuna mahusiano zari anayajutia na atayajutia katika maisha yake yote basi ni kuwa na mahusiano na mond

Kuwa na mond zari amedhalilishwa sana ametukanwa sana hadi maex wa zari wamevujisha mavideo machafu ya zari.zari amejitahidi kuwa mvumilivu katika mahusiano haya magum

Mond uliambiwa huzai wewe ila zari kakuzalia watoto wakati wanawake wengi walishindwa kukufanyia hvyo.kuna kipind penny alipata mimba yako ila akaitoa kwa madai utamuharibia mtoto kwa domo lako

Kupitia kwa zari na wewe unaitwa baba.mwanzon walitaka DNA ila sasa hv watu hawana shida tena na DNA maana wameshakuona kidume na wewe unaweza kutia mimba

Fikiria watoto wako watakavyo pata tabu mkiachana baba mtz mama muuganda watoto wanaishi south

Aaaa mond kua mwanaume sasa achana na kukitombesha hovyo nje
 
Huyo kibibi wala usimuonee huruma cuz yeye ndio muhuni na ndio aliye sababisha husband wake kuwa na presha

Tukio la kumkimbia ivan alee watoto na yeye kwenda kumkimbilia kijana mdogo diamond ilukuwa ni tukio la kijinga na alifanya makusudi kumuumiza ivan

Kuna kipindi walikuwa wanapiga picha wakiwa nusu uchi bafuni nyingine chumbani mara d anamnyonya kwapa hiyo yote kumliza mmewe

Kumbe ivan alikuwa na machozi ya ndani ndani mwishowe hata utajiri wake hakuona faida yake presha ya mawazo ikamuondoa

So chozi la ivan ndilo linalomsumbua na kumtafuna zari

Yaani mwacheni wala msiingilie. Hicho kibibi kimebarikiwa akili ya kusaka hela lakini akili inayoendana na umri wake hakina
 
sema nn ,,Zarieth Kaumbika jaman ..ilo tukatae tukubali.

Yule mwanamke kaumbika maridadi.

Komenti isiyojulikana.
 
Watu wananifurahisha kweli[emoji23][emoji23].. unakuta mtu anakomalia watoto sio wa diamond kuwa hawajafanana nae... ila ukimuona yeye anaesema hivo hajafanana hata robo na baba ake[emoji23][emoji23][emoji23].. wabongo wivu ni kitu kibaya sana
 
We nae usituchefue mbona hakuna hata mtoto mmoja anaemfanana daimond ,,yule nillan anafanana na ivan,,
Tunasubiria picha ya mtoto wa hamisa tufananishe DNA za macho,,angalia kina hemedy watotp wao wanavyowafanana,kina msando
Naona ulikuwa unasimamia shoo wakati Zari anapata mimba ya Tiffa na Nilan.
 
Huyo kibibi wala usimuonee huruma cuz yeye ndio muhuni na ndio aliye sababisha husband wake kuwa na presha

Tukio la kumkimbia ivan alee watoto na yeye kwenda kumkimbilia kijana mdogo diamond ilukuwa ni tukio la kijinga na alifanya makusudi kumuumiza ivan

Kuna kipindi walikuwa wanapiga picha wakiwa nusu uchi bafuni nyingine chumbani mara d anamnyonya kwapa hiyo yote kumliza mmewe

Kumbe ivan alikuwa na machozi ya ndani ndani mwishowe hata utajiri wake hakuona faida yake presha ya mawazo ikamuondoa

So chozi la ivan ndilo linalomsumbua na kumtafuna zari

Yaani mwacheni wala msiingilie. Hicho kibibi kimebarikiwa akili ya kusaka hela lakini akili inayoendana na umri wake hakina
Aliyekwambia Zari kaachana na Ivan Kisa Diamond Nani kusanya Data vizuri Ndio urudi tena.
 
We nae usituchefue mbona hakuna hata mtoto mmoja anaemfanana daimond ,,yule nillan anafanana na ivan,,
Tunasubiria picha ya mtoto wa hamisa tufananishe DNA za macho,,angalia kina hemedy watotp wao wanavyowafanana,kina msando
kifupi tuseme simba ni mgumba??[emoji15] [emoji15]
 
Huyo kibibi wala usimuonee huruma cuz yeye ndio muhuni na ndio aliye sababisha husband wake kuwa na presha

Tukio la kumkimbia ivan alee watoto na yeye kwenda kumkimbilia kijana mdogo diamond ilukuwa ni tukio la kijinga na alifanya makusudi kumuumiza ivan

Kuna kipindi walikuwa wanapiga picha wakiwa nusu uchi bafuni nyingine chumbani mara d anamnyonya kwapa hiyo yote kumliza mmewe

Kumbe ivan alikuwa na machozi ya ndani ndani mwishowe hata utajiri wake hakuona faida yake presha ya mawazo ikamuondoa

So chozi la ivan ndilo linalomsumbua na kumtafuna zari

Yaani mwacheni wala msiingilie. Hicho kibibi kimebarikiwa akili ya kusaka hela lakini akili inayoendana na umri wake hakina
funzo:wanawake muwe wenye utu.na wanaume pia.hakuna kitu chenye uchungu kama mpenzi wako kutoka na jamaa mdogo kwako kiumri..painful painful painful...!!
 
We nae usituchefue mbona hakuna hata mtoto mmoja anaemfanana daimond ,,yule nillan anafanana na ivan,,
Tunasubiria picha ya mtoto wa hamisa tufananishe DNA za macho,,angalia kina hemedy watotp wao wanavyowafanana,kina msando
Dada pambana na umaskini wako. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom