Diamond punguza uhuni Zari ndio mwanamke sahihi kwako

Zari awe tu mvumilivu maana dah inauma sana
 
Umemaliza yote mkuu mond anatakiwa akue na aache ujinga ujinga
 
mwache DOMO afanye anachojiskia ndio tabu ya ku date na watoto wa uswahilin anahis nachokifanya ni sahihi kumbe ni udhalilishaji wa hali ya juu. kanikera sana Domo na kuanzia leo hii nipo team KIBA sihitaji kumshabikia mtu mjinga kama DOMO
 

Duh
Umeandika kama vile unajua historia yao eeeh
Jiite mdaku muongo na gazeti lote hilo hujui ukweli zaidi ya kujaa wivu.
 
Mi naunga mkono hoja. Aache ukahaba kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…