Acha upumbavu wewe. Ivan walishindana kimapenzi lakini wakaendelea kuwa business partners. Nasibu kakutana na Zari wakati Zari hana mtu. Walishaachana tayari na ivan, wewe unalazimisha tu awe na ivan. Huna akili. Watu wangapi wanaachana na wenza wao kwa kutokuelewana na bado wakawa wazazi wazuri wa watoto wao?
Kwa dunia yako unadhani ndoa ni lazima? Kuna faida gani ya kuwa kwenye ndoa halafu kila siku mnagombana, kutukanana na kudhalilishana mbele ya watoto na public?
Huyo Hamisa amelala na wanaume wangapi kabla ya Mond? Kwa hiyo Mond alimkuta Bkira? Kinachohitajika ni kujiheshimu na kuheshimu mahusiano yenye misingi. Unapompata mtu mkapendana, mkaelewana na kuheshimiana ni vizuru kulinda hayo mahusiano kuliko kujiandiksha mali ya umma.
Zari mnamwita bibi, ana ubibi gani huyo binti mzuri tena ana akili kuliko hii michangudoa inayojilazimisha kwa wanaume hadi mitandaoni? Hamisa, kalazimisha mapenzi kwa nasibu, akamtegeshea ngono uzembe na tangu hapo akaanza kumpiga vita Zari, bila kkupita muda anatangaza mimba ya Mond!. Huoni kama huy siyo mwanamke zaidi ya uchawi?
Katika mischana ya sasa hivi hapa Bongo hakuna kama Zari kwa Diamond. Kinachowaponza ni ujinga, ushamba na ulimbukeni wa kipumbavu.
Zari ni mwanamke safi kwa Nasibu, akendelea kumchezea atatupa shiling chooni aieshi kuhangaika na mi KAHABA kama huyu hamisa. Mwanamke asiye haya wala mafunzo!.
Nasibu acha upumbavu wa kufanay ukahaba. Ukimpoteza Zari, utajuta maishani!