Diamond, sarkodie,millard ayo washinda tuzo za youtubeSSA

Diamond, sarkodie,millard ayo washinda tuzo za youtubeSSA

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Google wametangaza washindi 10 wa mwanzo
wa tuzo za Youtube Sub-Saharan African Creator (YoutubeSSA)
1478854564722.jpg


Tuzo hizo zimekuwa zikifanyika kwenye mabara
mengine tangu mwaka 2007 na zimekuwa
zikiwapongeza watu wanaofanya vizuri kwenye
Youtube. Jumla ya tuzo 24 zitatolewa ambapo
zilizosalia zitatolewa leo, November 11.

Nominees walichaguliwa kutokana na idadi ya
subscriber walionao.
Nchi zinashiriki kwenye tuzo za SSA ni
Tanzania, Ghana, Uganda, South Africa,
Zimbabwe, Kenya, Nigeria, na Senegal. Kuna
channel zaidi ya 70 katika nchi za SSA ambazo
zimefikisha zaidi ya subscribers, 100,000

Washindi 10 wa mwanzo ni:
Comic – Ramscomics / Supastrikas
Education – Retutpro – Photography and
Photoshop Tutorials

Fitness – Six Pack Factory
Games – Slushy AJ
News and politics – Millard Ayo
Nonprofit – Jim Nduruchi
Pets and animals – Earth Touch

Top Subscribed Creator in Ghana –
OfficialSarkodie
Top Subscribed Creator in Senegal – Prince Arts
Top Subscribed Creator in Tanzania – Diamond
Platnumz
Top Subscribed Creator in Zimbabwe – Mufti
Menk
Top Subscribed Nollywood Channel – IbakaTV/
Nollywood
 
Huyu DIAMOND si mtu mzuri,kila lililozuri linaanzia kwake ndio yanapoenda kwa wengine ambao wao ili wayapate sharti waandamane huyu yeye haina kuandamana wala kumtukana mtu yanamjia tu,hongera DIAMOND muda si mrefu watu wataandamana na wenyewe wawe nembo ya taifa.
 
Huyu DIAMOND si mtu mzuri,kila lililozuri linaanzia kwake ndio yanapoenda kwa wengine ambao wao ili wayapate sharti waandamane huyu yeye haina kuandamana wala kumtukana mtu yanamjia tu,hongera DIAMOND muda si mrefu watu wataandamana na wenyewe wawe nembo ya taifa.
anabidii
 
Hapana msanii wetu kashinda wamemuonea twendeni tukawatukane hao waandaaji
twendeni wasilete masikhara mpaka jana tulikua tunaongoza
Msanii wenu ninani huyo mkuu
 
Washindi wengine watatangazwa leo usiku kwenye kilele
 
sisi wakulilia tuzo
team kuonewa tunaonewa sana hata ile nyumba madale tulijenga sisi akapewa mwengine
Subirini huruma yao.ya MUNGU mengi mnaweza mkapata pia
 
Back
Top Bottom