Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

Sasa unataka nini,its just business,
Yaani uje,huna kitu bado underground,hata nauli huna,
Tukujenge kwa gharama yetu,ufike juu!,harafu tunapukuambia lipa! Unagoma,unatoka povu!!
Tuseme ukweli bila wasafi/Diamond,Harmonize angekuwa wapi? Bila shaka angekuwa bado anavaa kanda mbili!
Hiyo 500M,ni gharama ya kufika hapo alipo,ka
 
Kalipishwa hiyo hela ndogo kutokana na kuvunja mkataba yeye mwenyewe na unafikiri hiyo hela inatosha kulinganisha na uwekezaji ulio fanyika kwake?
kwani si ameuza nyumba amelipa na anaendelea kulipa? Sasa kakosea kusema hayo? ilitakiwa iwe siri? Basi aongeze kipengele kwenye mkataba kuwa yaliyo ndani yasisemwe hadharani.
 
kwendaa,sio wimbo wake...lakini amekua creative about it,kaangalie tena wimbo original na aliotoa akimshirikisha Diamond,views zake,koma kuniita mjinga mpuuzi wewe!
Usibishane naye huyo akili Hana hiyo ngoma ipo kwenye account ya youtube ya diamond so ni ya wote wawili.Mwanaume mzima anawaza kwa kwakutumia makalio bibie mpotee asije akakuambukiza ugonjwa wa akili
 
Kwa nini unaamini kuwa Hamornise kalipishwa milioni 500, uliona? Kwanini usiamini mkataba wa mika 20?!
Atleast hiyo ya milioni 500 mhusika mwenyewe amenukuliwa akisema kwenye vyombo vya habari kuwa mkataba wake umemtaka hivyo. Hivyo kama anasema kweli au la hatujui. Ila reference ipo.

Ila hiyo ya miaka 20 umeiona wapi? Imesemwa na nani? Umeona nyaraka kuthibitisha hilo?
 
Kabla huja sign mkataba unatakiwa uwe na akili timamu ina maana walio sign hawakua na akili timamu?Mwache Dogo apige pesa we fala endelea kulia na wewe kaanzishe lebo yako wasainishe kwa buku!
 
kwani si ameuza nyumba amelipa na anaendelea kulipa? Sasa kakosea kusema hayo? ilitakiwa iwe siri? Basi aongeze kipengele kwenye mkataba kuwa yaliyo ndani yasisemwe hadharani.
Nini kinamfanya apige kelele kwenye media alipe hiyo hela mbona diamond alivunja mkataba wa aliyekuwa manager wake papa misifa na kutakiwa kulipa 100 m mbona akupiga kelele na kulipa kimyakimya na sisi tumejua kupitia papa misifa mwenyewe wakati anahojiwa na clouds.
 
Milion 500 mbona ndogo sana ukizingatia gharama alizotumia mpaka kumfanya Hamonize ajulikane, walau angelipa 1 billion kidogo ingeendana.
 
Umeuliza maswali kuntu kwa mtu mjinga
 
Team kiba mnateseka sana na wasafi, mtu ateseke kutumia pesa zake harafu ulitaka aondoke bure, harmonize wa miaka 4 iliopita sio wa saivi anae ongea na raisi wa nchi katolewa mbali sana.

Wengi wanao shabikia kuwa kambiwa pesa nyingi ni wanafunzi wapiga kelele kwenye vijiwe vya kahawa tuuu ambae anajua mkataba hajui ni maana yake.


Hamna cha bure duniani siku izi ukila vya mwenzako utavitapika vitakavyobaki tumboni ndo faida yako
 
Hii ela ndogo sana.Tena sana.Sjui D aliwaza nini kumtoza ela ndogo ivo.Kwa juhudi alizofanya kumkuza mpaka Harmonize akawa brand nyie sikieni tuu
Mkuu huwezi kusema unamsaidia mtu kwa kumbana na mikataba ya kinyonyaji. Kumbuka huyo amekuja na talent yake ndo maana ukaingia naye mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…