JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Sasa unataka nini,its just business,Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii
harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo
rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400
hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
Yaani uje,huna kitu bado underground,hata nauli huna,
Tukujenge kwa gharama yetu,ufike juu!,harafu tunapukuambia lipa! Unagoma,unatoka povu!!
Tuseme ukweli bila wasafi/Diamond,Harmonize angekuwa wapi? Bila shaka angekuwa bado anavaa kanda mbili!
Hiyo 500M,ni gharama ya kufika hapo alipo,ka