MANIAJE
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 244
- 461
MATAGA bana mmekaa kishoga shoga sanaWasafi wananyonya hadi mk***
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MATAGA bana mmekaa kishoga shoga sanaWasafi wananyonya hadi mk***
Kama inakuuma Sana tengeneza mkataba wako kamsign huyo harmoMkuu huwezi kusema unamsaidia mtu kwa kumbana na mikataba ya kinyonyaji. Kumbuka huyo amekuja na talent yake ndo maana ukaingia naye mkataba
Mchango wangu ni kwamba vijana wainuane kwa kusaidiana siyo kunyonyana . hata marehemu Ruge tulimlamu sana humu . kama linajirudia kwa Diamond lazima alaumiwe.Kama inakuuma Sana tengeneza mkataba wako kamsign huyo harmo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kula zako bumunda mama
Mimi sijawahi kuwalaumu mabeberu... infact bila mabeberu wengi tungekuwa tumekufa umaskini wetu unasababishwa na sisi wenyewe
Hiv unajua how much diamond katumia kumfanya awe msanii mkubwa huyo ruge Kuna msanii gani amemfanya awe mkubwa? Kama terms na condition za contract alikubali yeyemwenyewe harmo bila kulazimishwa unataka diamond afanye Nini mbona diamond alilipa 100 m kwa kuvunja mkataba wa aliyekuwa manager wake papa misifa mbona diamond hakuwahi kulaumu.Apart yakuwa anasaidia msanii lakini pia yeye ni mfanyabiashara na analipa Kodi kubwa kwa serikali lakini pia amewaajili vijana si chini ya 100 hiv ikiwa ataendeshaa record label yake Kama charity unazani wangekuwa wanatengeneza hela? Tena naona ametumia ubinadamu angekuwa ni mnyama angezuiliwa harmo kutumia nyimbo zote alizofanya ndani ya WCB Kama makubaliano yanavyosema, wangechukua account ya youtube yake na account zake zote za social network mpaka alipe hela zote za kuvunja mkataba ambayo ni hiyo million 500 lakini wamemuachia huku alilipa taratibu.kama mil 500 unaona ni kubwa vp kuhusu kiss Daniel anaedaiwa bil 1 na record label yake ya zamani kwa kuvunja mkataba utasemaje?Mchango wangu ni kwamba vijana wainuane kwa kusaidiana siyo kunyonyana . hata marehemu Ruge tulimlamu sana humu . kama linajirudia kwa Diamond lazima alaumiwe.
NiKwani kosa la Diamond ni nini?
Mbona hauinclude gharama za nyimbo zake zote?,roughly inaweza kuwa kiasi gan?,kwa mda aliokaa harmo alikuwa hajarejesha kiasi chochote kupitia mapato?Hiv unajua how much diamond katumia kumfanya awe msanii mkubwa huyo ruge Kuna msanii gani amemfanya awe mkubwa? Kama terms na condition za contract alikubali yeyemwenyewe harmo bila kulazimishwa unataka diamond afanye Nini mbona diamond alilipa 100 m kwa kuvunja mkataba wa aliyekuwa manager wake papa misifa mbona diamond hakuwahi kulaumu.Apart yakuwa anasaidia msanii lakini pia yeye ni mfanyabiashara na analipa Kodi kubwa kwa serikali lakini pia amewaajili vijana si chini ya 100 hiv ikiwa ataendeshaa record label yake Kama charity unazani wangekuwa wanatengeneza hela? Tena naona ametumia ubinadamu angekuwa ni mnyama angezuiliwa harmo kutumia nyimbo zote alizofanya ndani ya WCB Kama makubaliano yanavyosema, wangechukua account ya youtube yake na account zake zote za social network mpaka alipe hela zote za kuvunja mkataba ambayo ni hiyo million 500 lakini wamemuachia huku alilipa taratibu.kama mil 500 unaona ni kubwa vp kuhusu kiss Daniel anaedaiwa bil 1 na record label yake ya zamani kwa kuvunja mkataba utasemaje?
Wewe ulitaka awatoze sh ngapi?
Ila kuna watu ni wajinga sana !
Unafahamu lolote kuhusu mikataba ?
Unajua yeye diamond katumia sh ngapi mpaka watu hao wakakubalika na jamii
Narudia tena hili swali unajua lolote kuhusu mikataba ?
Jameni ile ni biashara kama biashara
Kama harmo angefikisha miaka 10 Kama mkataba unavyosema angeondoka bila Deni lolote lakini kwenye terms and condition ya mkataba umetamka Kama atavunja before ya muda wake kuisha imeandika kabisa pesa ambayo anatakiwa alipe as compasation na hii ipo dunia nzima sio tu bongo ndomaana kiss Daniel anaedaiwa billion 1 na record label yake yazamani ili ujue zaidi haya mambo vizuri nenda kasome LAW OF CONTRACT hautauliza Tena maswali Kama hayo.Ni
Mbona hauinclude gharama za nyimbo zake zote?,roughly inaweza kuwa kiasi gan?,kwa mda aliokaa harmo alikuwa hajarejesha kiasi chochote kupitia mapato?
Naheshimu mkataba, Napingana na wewe unaposema hiyo pesa ni ndogo kulinganisha na gharama ambazo wametumia kumbrand,gharama gani?kama gharama za nyimbo zake zote wamemlipisha,faini ya mkataba ndo 500m,pia kuna return ambayo alikuwa ameshaiingizia kampuni kupitia mapato yake.Hakuna msaada,amerudisha vyote alivyopata akiwa WCBKama harmo angefikisha miaka 10 Kama mkataba unavyosema angeondoka bila Deni lolote lakini kwenye terms and condition ya mkataba umetamka Kama atavunja before ya muda wake kuisha imeandika kabisa pesa ambayo anatakiwa alipe as compasation na hii ipo dunia nzima sio tu bongo ndomaana kiss Daniel anaedaiwa billion 1 na record label yake yazamani ili ujue zaidi haya mambo vizuri nenda kasome LAW OF CONTRACT hautauliza Tena maswali Kama hayo.
Pima akili yako kama inaendana na ubongo wako. Unajua maana ya mkataba?
Kumfanya msanii mkubwa Kuna vitu vingi si nyimbo pekee ndo maana pamoja na ruge kuwa Mastermind lakin alishindwa kumfanya msanii mkubwa from scratch Kuna connection,uandaaji wa show,mshahara wa manager,promotion hapa inahusisha show social network .....,video za Bei Kali,video photographer wakumpiga msanii,dancers,kutafuta soko la msanii,kuprotect brand ya msanii,kumlipia msanii hoteli,kufanya kazi ndani ya studio ya label. Sehemu pekee aliyekuwa anakatwa ni kwenye show pekee sio kweli kwamba amerudisha pesa yote ya wasafiNaheshimu mkataba, Napingana na wewe unaposema hiyo pesa ni ndogo kulinganisha na gharama ambazo wametumia kumbrand,gharama gani?kama gharama za nyimbo zake zote wamemlipisha,faini ya mkataba ndo 500m,pia kuna return ambayo alikuwa ameshaiingizia kampuni kupitia mapato yake.Hakuna msaada,amerudisha vyote alivyopata akiwa WCB
Kumfanya msanii mkubwa Kuna vitu vingi si nyimbo pekee ndo maana pamoja na ruge kuwa Mastermind lakin alishindwa kumfanya msanii mkubwa from scratch Kuna connection,uandaaji wa show,mshahara wa manager,promotion hapa inahusisha show social network .....,video za Bei Kali,video photographer wakumpiga msanii,dancers,kutafuta soko la msanii,kuprotect brand ya msanii,kumlipia msanii hoteli,kufanya kazi ndani ya studio ya label. Sehemu pekee aliyekuwa anakatwa ni kwenye show pekee sio kweli kwamba amerudisha pesa yote ya wasafi
Tatizo mtoa mada ana akili ndogo pia nimemuelezea hapo juu.Tuache majungu.. mbona haujatoa takwimu kuhusu uwekezaji alioufanya Kwa harmonize na amevuna nini mpaka sasa hiyo ni biashara kama biashara nyingine