Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

Hiv unajua how much diamond katumia kumfanya awe msanii mkubwa huyo ruge Kuna msanii gani amemfanya awe mkubwa? Kama terms na condition za contract alikubali yeyemwenyewe harmo bila kulazimishwa unataka diamond afanye Nini mbona diamond alilipa 100 m kwa kuvunja mkataba wa aliyekuwa manager wake papa misifa mbona diamond hakuwahi kulaumu.Apart yakuwa anasaidia msanii lakini pia yeye ni mfanyabiashara na analipa Kodi kubwa kwa serikali lakini pia amewaajili vijana si chini ya 100 hiv ikiwa ataendeshaa record label yake Kama charity unazani wangekuwa wanatengeneza hela? Tena naona ametumia ubinadamu angekuwa ni mnyama angezuiliwa harmo kutumia nyimbo zote alizofanya ndani ya WCB Kama makubaliano yanavyosema, wangechukua account ya youtube yake na account zake zote za social network mpaka alipe hela zote za kuvunja mkataba ambayo ni hiyo million 500 lakini wamemuachia huku alilipa taratibu.kama mil 500 unaona ni kubwa vp kuhusu kiss Daniel anaedaiwa bil 1 na record label yake ya zamani kwa kuvunja mkataba utasemaje?
Tatizo mnajadili na mapopoma , Kwa hii issue nasimama upande wa Mond, namuombea tu mambo yamwendee vizur anapo ji-regroup kuziba pengo la huyu ndege mjanja konde boy
 
Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii

harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo

rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400

hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
nina uhakika hujasikiliza hio interview... umehadithiwa vijiweni huko..
 
Kwani yope Ni wimbo wake ??? Au hujui hata huko YouTube huu wimbo haupo kwenye account yake . Hii nchi imejaa wajinga Sana Kama wewe
Kama hujawahi ingia you tube, au umewahi na huijui you tube vizuri ni vema kubaki kimya. Hapa ni kuonyesha umma level ya ujinga wako.
Screenshot_20191026-154121.jpeg
 
Watanzania bado sana kwenye masuala ya biashara asee Harmo kapewa support sana chibu kaumia sana kumuinua huyu jamaa nyimbo ya kwanza kanunuliwa mpaka boxer kwenda kufanya shooting south.
Kwenye bado alianguka na pikipiki tena sio hizi boxer [emoji3] ikaharibika chibu akalipa dogo alikua na pumbu tu pale. Ndani ya miaka 3 ana nyumba 3 na ndinga na biashara asee hio 500m ndogo sana jamaa kafanya kishkaji tu.
 
Mi nilifikiri kawadhulumu kumbe issue za kuvunja mkataba...kwani walikuwa hawajui au hawakusoma mikataba yao?
 
'vijana waliosaidiwa na mond wakumbuke walikotoka na hapo walipo leo hii ukizunguka mtaani kuna wasanii weng hawjui watokee wapi msanii kujenga nyumba tatu kwa miaka mitatu tu sio jambo dogo wakina yamoto walitoka ata pesa yakulipa kodi walikuwa hawana
Hata Mond mwenyewe kuna ambao walimtoa jalalani Tandale had pale alipo, hakuna aliyefika juu bila kusaidiwa,.nadhan tuongelee mikataba yao, ila kuhusu kusaidiwa hata yeye kufika pale alipo alisaidiwa
 
Hata Mond mwenyewe kuna ambao walimtoa jalalani Tandale had pale alipo, hakuna aliyefika juu bila kusaidiwa,.nadhan tuongelee mikataba yao, ila kuhusu kusaidiwa hata yeye kufika pale alipo alisaidiwa
Tatizo huyo harmonize anaonekana kama amefanyiwa unyonyaji wakati aliyataka mwenyewe kusign mkataba akiwa na akili timamu
 
Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii

harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo

rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400

hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
Msikilize Master J labda utaokota jambo
 
Nakupa na hii kabla Chibu hamjua Konde Boy

Vip Mond ni mnyonyaji au mtengeneza mafanjkio..?
 
Kaka haujui biashara ya Music,
Hiyo 500M ni ndogo sana kulinganisha na pesa ambayo mond ameweka na hawa wasanii hawana shukrani
Hata Mond mwenyewe kuna ambao walimtoa jalalani Tandale had pale alipo, hakuna aliyefika juu bila kusaidiwa,.nadhan tuongelee mikataba yao, ila kuhusu kusaidiwa hata yeye kufika pale alipo alisaidiwa
 
Bao lako bora maza ako angelinywa akalimeza hivi unajua vipengele vingine vilivyokuwa ndani ya huo mkataba? Huwezi weka mkataba kuwa kampuni itakukadiria ukitaka kutoka unajua kuwa mondi mara ya kwanza alitaka milion 200 ila roho mbaya ya mama dangote akawaa anashinikiza iwe milion 800? Usiseme kitu kama hujui
Ulikuwepo?
 
Wewe ulitaka awatoze sh ngapi?

Ila kuna watu ni wajinga sana !

Unafahamu lolote kuhusu mikataba ?

Unajua yeye diamond katumia sh ngapi mpaka watu hao wakakubalika na jamii

Narudia tena hili swali unajua lolote kuhusu mikataba ?
Ruge aliyekuwa anasemwa mnyonyaji alikuwa hatumii gharama zake kuwapandisha hao wasanii??
 
Wanacholalamika wadau hapa ni double standard.

Ruge alitukanwa na kusemwa sana.. yeye kwani alikuwa hatumii gharama kumtengeneza msanii anayemuona ana kipaji na kuuzika?
We jamaa hilo bao bora mshua wako angepiga puli..
Hivi mkataba wa harmo kwa akili yako unadhani ulikua na thamani ya sh ngapi kwa ukubwa wa harmo??
Mimi naona hata mil 500 ni ndogo sana kwa jinsi harmonize alivyo msanii mkubwa..
Pia wakati wanasign hio mikataba kwani walisignia bar?? Mbona kusign walikua kimya lakini kwenye kuvunja wanakuja hadharani kutafuta huruma ya watu.
 
Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii

harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo

rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400

hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
Ushahid uko wap?
 
Ruge aliyekuwa anasemwa mnyonyaji alikuwa hatumii gharama zake kuwapandisha hao wasanii??
Ishu za ruge sizijui

Kama unazijua ziweke hapa

Wala hapa sipo ku justify kati ya ruge na mondi who is better

Na deal na huyu mleta mada aliyeleta mada ya kijinga
 
Back
Top Bottom