Hiv unajua how much diamond katumia kumfanya awe msanii mkubwa huyo ruge Kuna msanii gani amemfanya awe mkubwa? Kama terms na condition za contract alikubali yeyemwenyewe harmo bila kulazimishwa unataka diamond afanye Nini mbona diamond alilipa 100 m kwa kuvunja mkataba wa aliyekuwa manager wake papa misifa mbona diamond hakuwahi kulaumu.Apart yakuwa anasaidia msanii lakini pia yeye ni mfanyabiashara na analipa Kodi kubwa kwa serikali lakini pia amewaajili vijana si chini ya 100 hiv ikiwa ataendeshaa record label yake Kama charity unazani wangekuwa wanatengeneza hela? Tena naona ametumia ubinadamu angekuwa ni mnyama angezuiliwa harmo kutumia nyimbo zote alizofanya ndani ya WCB Kama makubaliano yanavyosema, wangechukua account ya youtube yake na account zake zote za social network mpaka alipe hela zote za kuvunja mkataba ambayo ni hiyo million 500 lakini wamemuachia huku alilipa taratibu.kama mil 500 unaona ni kubwa vp kuhusu kiss Daniel anaedaiwa bil 1 na record label yake ya zamani kwa kuvunja mkataba utasemaje?