4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
From muuza mitumba to best African artist unaambiwa ulipe fidia ya kuvunja mkataba unaanza kulalamika mitandaoni,hv ni wangapi waliitamani hiyo chance,tuache unafsi Diamond kawasaidia sana hao madogo mfano VannyBoy yupo TIPTOP tangu 2009 hajawai kutoka,anakuja kutoka 2015 kwa mgongo wa WCB naye Leo ni best east African artist wakati akiwa tiptop alishindwa hata kuwa best manzese artist