Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

From muuza mitumba to best African artist unaambiwa ulipe fidia ya kuvunja mkataba unaanza kulalamika mitandaoni,hv ni wangapi waliitamani hiyo chance,tuache unafsi Diamond kawasaidia sana hao madogo mfano VannyBoy yupo TIPTOP tangu 2009 hajawai kutoka,anakuja kutoka 2015 kwa mgongo wa WCB naye Leo ni best east African artist wakati akiwa tiptop alishindwa hata kuwa best manzese artist
 
Wewe ulitaka awatoze sh ngapi?

Ila kuna watu ni wajinga sana !

Unafahamu lolote kuhusu mikataba ?

Unajua yeye diamond katumia sh ngapi mpaka watu hao wakakubalika na jamii

Narudia tena hili swali unajua lolote kuhusu mikataba ?

Aache ungese
 
Acha awanyonye kama walishindwa kusimama pke yao mpaka wapate mbeleko
 
From muuza mitumba to best African artist unaambiwa ulipe fidia ya kuvunja mkataba unaanza kulalamika mitandaoni,hv ni wangapi waliitamani hiyo chance,tuache unafsi Diamond kawasaidia sana hao madogo mfano VannyBoy yupo TIPTOP tangu 2009 hajawai kutoka,anakuja kutoka 2015 kwa mgongo wa WCB naye Leo ni best east African artist wakati akiwa tiptop alishindwa hata kuwa best manzese artist
Kumuinua mtu then Kumshusha to zero akitaka kuondoka means ulikuwa unamtumia kwa faida yako mwenyewe maana sidhani kama Harmonize akimaliza hilo deni atabaki na chochote.. Jamaa hana utu the same goes to his fans Africa kuna wasanii wengi wakubwa kuzidi hata yeye lkn hawana tabia za ajabu hata maadui zao nia wachache its all love for them mfano Wizkid, Davido, Fally ipupa etc.
 
Back
Top Bottom