Diamond: Sifikirii kuoa

Mi namuonea huruma jaman akiachwa sasa ivi sijui itakuaje manake anavyojipendekeza kwa hao wakwe!!!na team zake wanavompa kichwa Mrs,chibu.....
 
nchi haiwezi kuendelea kama mtaendelea na upuzi huu wa kujadili watu.. acheeeeni ujuha. yako mengi yakufanya ..
 
Kama Ana Hamu Ya Msoto Ajaribu Hilo La Kwanza.....Kibiashara Zaidi,Maana Soko Lake Liko Bongo Zaidi...Huko Nje:..Mmmmh.....Ni Kama Sie Vibonge Na Ndoto Za Kuolewa Na Mzungu,Meaning Wa Labda Ampate Mmana Wa Kitalii Au Dada Wa Kawaida Tuuuu....
Note:
Yeye Mwenyewe Hana Hadhi Ya Mbebz Wa Njeeee......(Wema Atoshaaa)
 
Reactions: prs
tuuche upuuziii, huu ni ujuha . kufikiria maisha ya watu ni utumwa wa mawazo.. acheeni maisha ya watu nchi iiendeleeee...fanye kazi ..
 
tuuche upuuziii, huu ni ujuha . kufikiria maisha ya watu ni utumwa wa mawazo.. acheeni maisha ya watu nchi iiendeleeee...fanye kazi ..

Umeitwaaa"!!!! Yesu mwenyewe anasemwa sembuse wema we vipiii
 
atakapofikiria si ndo atamuoa Wema wake jamani mbona maneno hivyo!!
 
tuuche upuuziii, huu ni ujuha . kufikiria maisha ya watu ni utumwa wa mawazo.. acheeni maisha ya watu nchi iiendeleeee...fanye kazi ..

Sasa mbona na wewe umecomment huo muda si uendelee kufanya kazi, hujaitwa huku
 
akufukuzae hakuambii toka.mama ubaya amejaa sifa za misukule wake huko insta basi anajiona kesha kuwa mrs.hana tofauti naa dada ake aliyerudi kwa wakwe.Rent si mchezo LA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…