Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Asahau hivi unafikiri tuzo ya Grammy
Ziko kama tuzo za watu binafsi zile sjui afrimaa nk
Mpaka kushiriki tu kuna taratibu lazima zifatwe

Ova
Ndio mkoo tuupe nafasi muda
 
Sio kweli 😂🤣🤣😁😁nenda kagoogle utapata majibu
Diamond ana tuzo MTV EMA African act 2 na MTV EMA African/Indian act....... Kiba ana MTV EMA African act

Diamond Traceawards best EA artist...... Kiba hana
Diamond Soundcity best african artist.... Kiba hana
Diamond The Headies best EA artist........ Kiba hana

Na sio kiba tu bali msanii yyte yule mbali Diamond hakuna mwenye hizo tuzo

Tuendelee ama tusiendelee
 
Ndio maana nimekuambia wewe muziki hujui

Wenzio tumeanza kufuatilia tuzo za Kora na msanii kama Lady jay dee alishapata toka first album

Diamond ni commercial artist hivyo ana impact kibiashara ila kwenye genre ya bongo flava hajaweka impact yoyote zaidi ya kuwa copy cat

Nikikuambia uniletee Diamond platinumz sound unaweza nionesha, vipi kuhusu mb dog, chillah, Juma Nature au TID

Respect the OGs kijana
Ww una chuki kubwa sana na Diamond, et Diamond kwenye bongo fleva hajaweka impact yyte 😂 😂.

Top artist in Tz ndani ya miaka 5 Ray, Harmo, Mbosso na Zuchu ni zao la Diamond, au uliitaka aandae pambano la ngumi ndio uone impact.

Kwenye muziki wa bongo fleva kwa mara ya kwanza tumeweza pata tuzo na nomination kubwa BET, MTV EMA ( respect kwa Nature) kuwa considered for Grammy, je hii sio impact.

Kupitia Diamond ameufanya muziki kuwa biashara kubwa kupitia digital platforms mbalimbali, ni nn hii?

Diamond kapiga stadiums shows kwenye nchi mnazosoma kwenye geography km Guinea, Ivory Coast, Sierra Leone, Guinea Bissau. Pia kapanda kwenye majukwaa ambayo hakuna msanii yyte kwenye tasnia ya muziki amewahi km Afro nation.

Diamond amebadilisha malipo ya wasanii na wasanii wengi tu wameiga kwenye bongo fleva na kutoa ajira mbali mbali katika tasnia ya bongo flava km videographers, dancers etc.

Et copy cat 😂 😂 hv kuna Mumbai hajawahi kumuiga Diamond hapa Tz?

Punguza chuki mkuu ubarikiwe
 
Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.

-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)

Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.

Unatabiri ukapela
 
Wacha ufe tu, umeharibu sana watoto wadogo na wanafunzi mashuleni
Wamekariri kila nyimbo, lakini kwenye masomo ni zero
 
Wala hazimuzimi kwani ukiondoa tz ni wapi pengine mond anaweza kufanya show akajaza nyomi?? Make wakienda kama marekani unakuta waliopo ni watz watupu,,,sasa kaangalie wasanii wa nigeria wakienda huko nje,,,,,,yaani unataka kusema wiz kid anazidiwa na mond???
Ww umeanza kufatilia muziki ss hv, Diamond ndio msanii pekee kutoka Tz ambaye anaweza kupiga stadium shows hapa Africa hii na amefanya hivyo mara nyingi....... huyo harmonize na Ali kiba na ujanja wao wote bado wanapiga shows za kufungua glossary hadi Kenya
 
Diamond ana tuzo MTV EMA African act 2 na MTV EMA African/Indian act....... Kiba ana MTV EMA African act

Diamond Traceawards best EA artist...... Kiba hana
Diamond Soundcity best african artist.... Kiba hana
Diamond The Headies best EA artist........ Kiba hana

Na sio kiba tu bali msanii yyte yule mbali Diamond hakuna mwenye hizo tuzo

Tuendelee ama tusiendelee
Asante Kwa kunisaidia hapo mkuu
 
Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.

-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)

Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.

Kajifunze maana ya Muziki. Halafu huo mziki wa Tanzania anaufanya huyo ni upi?
Kingine mwambieni afariki
 
Ww una chuki kubwa sana na Diamond, et Diamond kwenye bongo fleva hajaweka impact yyte 😂 😂.

Top artist in Tz ndani ya miaka 5 Ray, Harmo, Mbosso na Zuchu ni zao la Diamond, au uliitaka aandae pambano la ngumi ndio uone impact.

Kwenye muziki wa bongo fleva kwa mara ya kwanza tumeweza pata tuzo na nomination kubwa BET, MTV EMA ( respect kwa Nature) kuwa considered for Grammy, je hii sio impact.

Kupitia Diamond ameufanya muziki kuwa biashara kubwa kupitia digital platforms mbalimbali, ni nn hii?

Diamond kapiga stadiums shows kwenye nchi mnazosoma kwenye geography km Guinea, Ivory Coast, Sierra Leone, Guinea Bissau. Pia kapanda kwenye majukwaa ambayo hakuna msanii yyte kwenye tasnia ya muziki amewahi km Afro nation.

Diamond amebadilisha malipo ya wasanii na wasanii wengi tu wameiga kwenye bongo fleva na kutoa ajira mbali mbali katika tasnia ya bongo flava km videographers, dancers etc.

Et copy cat 😂 😂 hv kuna Mumbai hajawahi kumuiga Diamond hapa Tz?

Punguza chuki mkuu ubarikiwe

Uwe unasoma kuelewa sio kujibu..

Nimeshakuambia Diamond ni commercial artist na kauongezea muziki wa bongo thamani COMMERCIALLY na yote uliyotaja ni commercial side ya muziki

Ulichotakiwa kunijibu ni kidogo sana,

Nioneshe unique Diamond platnumz sound ni ipi

Dully sykes pure bongo flava ya mwanzo ilikuwa sound yake

Mb Dog ndiye aliyeanzisha hii new era ya muziki ya mahaba toka Tanga

Mr Nice alikuwa na TAKEU

kukurahisishua, ni sawa umuite Michael Jackson King of pop au Ashanti, RnB Princess

Diamond ana, identity gani KIMUZIKI
 
Naunga mkono hoja
 
Jamaa unachekesha sana "Nioneshe ana Diamond sound ni ipi" 😂 😂 hiki ni kigezo kutoka wapi au unachonga kona kona hili uthibitishe uwongo wako.

Nikuulize nitaji sound ya burna, wiz, psquare, davido, ayra utajibu nini? Wote hao wanabaki kwenye afro beat fusion hakuna cha sound wala nn.

Hao wote uliowataja kina mb dog, Mr Nice, dully wote wanabaki kwenye bongo fleva au ulitaka wote wafanane melody ndio ujue wanaimba aina moja ya muziki.

Aya nijibu hili swali huo muziki wa Mr Nice "TAKEU" ni aina gani ya muziki una fall kwenye category.

Au Alikiba tuambie ana sound ipi kwenye muziki?

Hao wote uliowataja kina dully, Mr Nice na wengineo ni msanii gani mbali na Ay mwingine uliwahi kumsikia akiimba Afro pop hapa bongo.

Bongo fleva as bongo fleva hadi mchiriku ni bongo fleva, singeli ni bongo fleva ktk hii dunia huwezi kuongeza aina mpya ya muziki, genres zote zipo ni ww kuchagua tu.

Na utachekesha sana mbele za watu km hujui Diamond anaimba aina gani ya muziki....... baada ya Ay kwenye afropop Diamond akaufanya kwa level kubwa sana.

Na ukitaka kuamnini kuwa unachekesha, kwa hiyo hao kina Mr Nice, dully, mb dog baada ya kuwa non active kwenye muziki kwa hiyo na muziki wa bongo fleva umeshuka thamani kwa vile hakuna sound mpya iliyokuja, maana ndio mantiki yako hiyo.

Simply tu hakuna muziki duniani unaitwa TAKEU ni janja janja tu za Mr Nice ktk kusaka pesa.
 
Jamaa unachekesha sana "Nioneshe ana Diamond sound ni ipi" [emoji23] [emoji23] hiki ni kigezo kutoka wapi au unachonga kona kona hili uthibitishe uwongo wako.

Nikuulize nitaji sound ya burna, wiz, psquare, davido, ayra utajibu nini? Wote hao wanabaki kwenye afro beat fusion hakuna cha sound wala nn.

Hao wote uliowataja kina mb dog, Mr Nice, dully wote wanabaki kwenye bongo fleva au ulitaka wote wafanane melody ndio ujue wanaimba aina moja ya muziki.

Aya nijibu hili swali huo muziki wa Mr Nice "TAKEU" ni aina gani ya muziki una fall kwenye category.

Au Alikiba tuambie ana sound ipi kwenye muziki?

Hao wote uliowataja kina dully, Mr Nice na wengineo ni msanii gani mbali na Ay mwingine uliwahi kumsikia akiimba Afro pop hapa bongo.

Bongo fleva as bongo fleva hadi mchiriku ni bongo fleva, singeli ni bongo fleva ktk hii dunia huwezi kuongeza aina mpya ya muziki, genres zote zipo ni ww kuchagua tu.

Simply tu hakuna muziki duniani unaitwa TAKEU ni janja janja tu za Mr Nice ktk kusaka pesa.
Unamuweza huyo....[emoji23][emoji23]
 
Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.

-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)

Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.

Muziki kamwe haufi; upo milele kw mtandao. Unadhan Miziki ya Michael Jackson, Whitney Houston imekufa? Ni kw akifa kijana tutapoteza his potential songs ila ana jina na miziki kibao ambayo itaishi milele
 
Back
Top Bottom