Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Hii ni lugha ya machawa, learn to appreciate.Diamond hana akili, elimu, exposure, influence wala connection alizokuwa nazo Ruge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni lugha ya machawa, learn to appreciate.Diamond hana akili, elimu, exposure, influence wala connection alizokuwa nazo Ruge
Mondi ndo anakuwa mzalishaji mkuu wa musicDiamond ana Producer wake. Yeye ha produce music.
Hawa wazee wa zamani wagumu kuelewaHuu ni ukweli
Mtu anakwambia Mond hana impact kwenye muziki wa bongo fleva, mwenye impact ni Marioo kwa vile alikuwa wa kwanza kuimba amapiano 😂 😂
Kafariki Jiwe sembuse Chibu?Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
Haibadili maana.Unaweza Kuta hata Mzee wako ni shabiki ndaki ndaki wa la masimba dangote [emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Taifa limejaa vijana wa hovyo [emoji23]Mtu anakwambia Mond hana impact kwenye muziki wa bongo fleva, mwenye impact ni Marioo kwa vile alikuwa wa kwanza kuimba amapiano [emoji23] [emoji23]
Nadhani umeona impact yakeKafariki Jiwe sembuse Chibu?
Na hawezi kuingizwa kushirikiLaiti ungejua how Grammy awards work ungefuta what you just wrote.
Diamond HAWEZI kushinda Grammy hata siku moja. Atashinda iwapo tu Grammy watabadilisha namna wanavyochagua washindi.
Otherwise futa hiyo ndoto kichwani kwako.
BIla shaka umezaliwa 2004Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
Mkuu haudhani kwamba investment ipelekwe kwenye kutengenezwa kwa cinemas zaidi kuliko kwenye streaming ?
Nasema hivyo kwa sababu thats how Nigeria revived their film industry kwa kujenga cinemas nyingi around the country kupitia investments za kampuni ya Silverbird (Silverbird film project)
Plus naona kama streaming ROI ni ndogo sana compared to cinemas hasa ukizingatia kwamba kuna watu wengi hapa Bongo ku-access internet bado ni changamoto.
Au mawazo yako ni yapi mkuu kuhusu hili ?
Yeah Kwenye muziki wa Piano, Marioo ni kichwa japo sometimes nammiss yule marioo ambaye alikuwa na ladha tofauti tofauti kwenye muziki wake. Tofauti na sasa ambapo ameanza kuwa predictableAgain, naunga mkono hoja
Tena tukiongelea KIMUZIKI, nadhani Marioo ana impact kubwa kuliko Mondi maana Marioo ndio msanii aliyeitangaza na kuifanya Bongo Piano au Swahili Amapiano kuwa maarufu zaidi.