Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Mmmh naombea tu yeye na manara wakichokwa watimuliwe. Yanga hatupendi vigeugeu
Namuhitaji sana... Maana mie na yeye tuko pamoja Younga Afrika lialia...

Ila mimi ni lialia wa Diamond.. ila yeye na Diamond ni kama paka na panya..
Sasa mi nataka nimuamishe tu aje tu..tuwe nae.. NIMUOE..
😂😅🤣💯
 
Unawajua vzr wasanii wewe!! Alisema hivo tu kwa sababu furaha ya perfomance yske ilimzidi ila moyoni huyo kijana ni Simba.
 
Unawajua vzr wasanii wewe!! Alisema hivo tu kwa sababu furaha ya perfomance yske ilimzidi ila moyoni huyo kijana ni Simba.
Mond alisema yeye mambo ya soka .....haelewi so alikuwa influenced na manara pale simba
 
Huna Madhara kwa SIMBA kwani wewe ndio unaihitaji Simba Simba ilikuwa haikujui kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…