Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Diamond Platnumz ametangaza rasmi kujiunga katika klabu ya Yanga SC akitokea katika klabu ya Simba SC kama Shabiki na Mwanachama.

"Walimfanyia Fitina Manara, kwanza Manara ni ndugu yangu ukimfanyia Fitina Manara umenifitini na mimi"- Diamond Platnumz, Msanii wa muziki na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, WCB Wasafi.

#YangaParade #yangasc #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

NBC: Harmonize ( jeshi) Diamond Platinumz, (world superstar) alikiba (legend) vannboy (chui) marioo.

Wote ni wananchi

Wanasimba Sasa [emoji23][emoji23]
Kingwendu
Kitale
Mkojani
Tundamani
cocastic

View attachment 2656295
Acheni ujinga wa kuchotwa akili na hawa wajinga wajinga wanaolimia matumbo yao huku ninyi mnakufa kwa ufukara. Nchi inauzwa kwa waarabu hii hawa wametumwa kuwazubaisha ili mwarabu apewe nchi.
 
Wala hata.
Namuhitaji sana... Maana mie na yeye tuko pamoja Younga Afrika lialia...

Ila mimi ni lialia wa Diamond.. ila yeye na Diamond ni kama paka na panya..
Sasa mi nataka nimuamishe tu aje tu..tuwe nae.. NIMUOE..
😂😅🤣💯
 
"Tunaomba Diamond asiendelee kutumia jina la 'SIMBA' maana kahama timu". Ilisikika sauti ya mlevi flani.

Bendera fata upepo.
 
Namuhitaji sana... Maana mie na yeye tuko pamoja Younga Afrika lialia...

Ila mimi ni lialia wa Diamond.. ila yeye na Diamond ni kama paka na panya..
Sasa mi nataka nimuamishe tu aje tu..tuwe nae.. NIMUOE..
[emoji23][emoji28][emoji1787][emoji817]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii tupuuu.
 
Acheni ujinga wa kuchotwa akili na hawa wajinga wajinga wanaolimia matumbo yao huku ninyi mnakufa kwa ufukara. Nchi inauzwa kwa waarabu hii hawa wametumwa kuwazubaisha ili mwarabu apewe nchi.
Unajuaje kuwa sisi ni maskini
 
Back
Top Bottom