Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Mwambino na mpira ni mbingu na ardhi, walau Ali Kiba anaupenda na kufuatilia michezo.

Mshabiki wa kweli hawezi kupuyanga kama huyo Mwambino.
 
Wamanyema hua wanapendana popote wanapokua, hao akina kirumbe ng’enda, zamaradi, diamond, rommyjones, Zitto, Asha baraka, mwijakuzi, kaseja, kiba, manara na wengine wengi wanajuana vyema
Sasa wewe ndio umenifumbuwa macho ni kwa nini Baba Revo ndio Chawa pro max wa Diamond.
 
Wamanyema hua wanapendana popote wanapokua, hao akina kirumbe ng’enda, zamaradi, diamond, rommyjones, Zitto, Asha baraka, mwijakuzi, kaseja, kiba, manara na wengine wengi wanajuana vyema
Kweli kabisa.
 
Wasomi wa kiafrika wanachojivunia ni kiingereza tu.
Madini hayo mkuu..... nadhani uliona report ya CAG ....madudu mengi yalitokea kwenye state owned entities

Thats why maza anataka kukomesha hii kitu
 
Mwambino na mpira ni mbingu na ardhi, walau Ali Kiba anaupenda na kufuatilia michezo.

Mshabiki wa kweli hawezi kupuyanga kama huyo Mwambino.
Yeye mpira kaujulia ukubwan
 
Huna Mchango wowote ndani ya SIMBA kikubwa hana Akili kwahiyo ameamua kuwafuata Mburula wenzake. Nenda ukafuate Marinda ya Msukule huko huko Mafurikoni
 
Huna Mchango wowote ndani ya SIMBA kikubwa hana Akili kwahiyo ameamua kuwafuata Mburula wenzake. Nenda ukafuate Marinda ya Msukule huko huko Mafurikoni
[emoji23][emoji23]
 
Sasa Domokayaa nani anamstuaa? Kwa lipi hasa??
Tena abakie huko huko. Na hata akitaka kuhamia kokote atakako kuwepo takadini wake, sio shida zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…