NakaziaDiamond wa tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa nigeria.
vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid.
hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.
Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky.
tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.
Diamond ni msanii wa africa pekee.
Kwani msanii kua wa kimataifa anatakiwa awe amefika vigezo gani? au kuna nchi specific ambazo ni lazima ujaze watu huko ndio uwe wa kimataifa? ukijaza watu Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi unakua sio wa kimataifa? kua wa kimataifa ni lazima ujaze watu kwenye kumbi za US?
Hoja imejibiwa kwa hoja tayari, Uzi tufunge sasa.UCHAWI SIO LAZIMA UVAE TUNGULI
Neno KIMATAIFA linatokana na taifa (Umoja) mataifa (Wingi), ndipo inapatikana kimataifa, hivyo taifa la Tanzania, Kenya, DRC, SA, Rwanda, etc haya yote ni mataifa.
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI, DIAMOND NI MSANII WA KIMATAIFA
We shule umesoma wapi? Kaskilize hata habari za kimataifa ITV kisha utajua International ni kitu gani ..dah umetumia nguvu nyingi kuonyesha ujinga wako [emoji23]
UCHAWI SIO LAZIMA UVAE TUNGULI
Neno KIMATAIFA linatokana na taifa (Umoja) mataifa (Wingi), ndipo inapatikana kimataifa, hivyo taifa la Tanzania, Kenya, DRC, SA, Rwanda, etc haya yote ni mataifa.
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI, DIAMOND NI MSANII WA KIMATAIFA
Ada yako ilienda bure kabsa.Ni kama timu ya simba wanavyojipaisha wakati wao ni wa hapa hapa tu bongo