Diamond sio Msanii wa Kimataifa kama anavyoaminisha watu

Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.

Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.

Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.

Diamond ni msanii wa africa pekee.
Fid q ft prof jay & Langa- Ni hayo tu

Mkuu nimeku-dedicate na hii ngoma, naomba kaisikilize, Kuna ujumbe wako kule
 
Ila haina maana diamond ni the best

Of course,
Vivyo hivyo haimaanishi kuwa sio the best, right?

Binafsi naamini ukiona mapungufu/kasoro kwenye kitu chochote maana yake ni kwamba unaweza kutatua hizo changamoto/mapungufu, you can do better.

Napendekeza wewe uwe msanii halafu pigania mziki wako uende kimataifa zaidi, yaani umpiku Diamond, uende ukajaze kumbi wanazojazaga kina Wizkid, Burna na Davido.
 
Binafsi nachoelewa wasanii wetu wanapozungumzia kimataifa hawazungumzia Rwanda na Burundi au hapo Kenya. ni mbali zaidi ya hapo. Hasa Africa Magharibi, Ulaya na Marekani.

Kwa hapo mtoa mada naona ana hoja.
 
Kuitwa wa kimataifa maana yake ni kutoka nje ya mipaka yako
Diamond,Alikiba,Harmonize wamekuwa wakipata show sehem tofaut tofaut kwenye bara hili la Africa hicho pekee ni kigezo cha kuitwa wa kimataifa
Diamond,Harmonize, Alikiba na wengine wamekuwa wakishindana kwenye tuzo South,Nigeria hilo pia ni kimataifa

Conclusion ; Acha upunguani unajisharirisha kuonesha chuki na msanii kutoka ndani ya nchi yako(we una nn zaid ya kubeba mabox huko? Kwa roho yako hii utarud nchini baada ya miaka ukiwa huna hata laki moja takataka wewe)
 
Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.

Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.

Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.

Diamond ni msanii wa africa pekee.
Nakuhurumia mleta mada, maana unaenda kubishana na watu kama hawa👇👇👇
 
Attachments

  • DV6MK6pEf9N7mHaA.mp4
    849.9 KB
Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.

Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.

Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.

Diamond ni msanii wa africa pekee.
Hizo 02 Arena wanajaza robo tatu wa naija wenzao . kama we ulivyoenda kwenye show ya daimond, sema mkawa wa Tanzania wachache .

Mngekuwa wengi mbona mnajaza 02 Arena kabisa
 
Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.

Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.

Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.

Diamond ni msanii wa africa pekee.

Inakuhusu nn?
 
Pumba on fire
 
Kwani Africa sio kimataifa?
 
Back
Top Bottom