Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi ni 33, naongelea wakati wa production ya ile show ya Netflix alikua 31Hivi 1989 Hadi Leo Ni miaka 31 kweli?
Wasanii wanapokuambia nataka mziki wetu ufike kimataifa, huwa hawamaanisha kufika kenye na uganda. naona wewe huelewi chochote, nenda ukawaulize.
Second: achane kujifariji kuwa marekani kuna maisha maguu. siri hiyo nimekupa kaa nayo akilini mwako.
Samahani mkuu, hii "kenye" ndio "Kenya" au!?kamuulize diamond unataka soko lipi la kimataifa wakati kenye ni kimataifa.
Kama vipi Mondi atafute wadau iandaliwe show pale O2 arena, kisha atupatie tiketi wabongo tutimbe hapo London tukaijaze.Hizo 02 Arena wanajaza robo tatu wa naija wenzao . kama we ulivyoenda kwenye show ya daimond, sema mkawa wa Tanzania wachache . Mngekuwa wengi mbona mnajaza 02 Arena kabisa
Samahani kidogo, hapo kwenye shoo kuboa, ilisababishwa na nini!? Ni watu kuwa wachache ukumbi ukapwaya? Au ni yeye kupiga shoo mbovu!?Si msanii wa Afrika bali Afrika Mashariki tu, shoo zake za kijinga mno na hazina mshiko. Alipiga shoo Canada watu hata mia 2 hawakufika, shoo iliboa kishenzi.
Kwa hiyo ni wa Gongolamboto???Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.
Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.
Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.
Diamond ni msanii wa africa pekee.
Ukijibiwa ni-tag please.Kiba100 vp?
Kajitahidi sana, nenda kaangalie interview ya Trevor Noah na Davido ndio utajua jinsi gani wamefika pale. Anasema the support from their own people till the world agreed with it. Lakini sisi watu wa Tandika ni negativity ndio zimetukaa kichwani. Mimi nimepita madukani Brussels nikasikia nyimbo ya Diamond inachezwa, sasa hiyo cha mtoto kuna mji mmoja unaitwa Zootermeer, ni karibu na The Hague, nimeingia shopping mall nikasikia yale maspika ya juu yanapiga nyimbo ya Diamond. Can you imagine the mall playing the song that they don't understand the language? I was so proud to hear that. Sio lazima awe kama wanaijeria, as long as he's doing good, kuddo[emoji106]
una IQ ndogo sanaDiamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.
Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.
Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.
Diamond ni msanii wa africa pekee.
kwani mleta nada amedai anamzidi jamaaa Hela😀😀Sio wa Kimataifa and he's 31st years old. Ila anaweza kupiga show sehemu nyingi Africa na nje ya Africa akapata audience yake and he's richer than you.
hasira😆😆😆Wapi nilikutukana Mkuu