Hizo suction si za juzi,hazina hata miaka mitatu,Koffi kaanza kuimba tokea miaka ya tisini huko kutengeneza hela ya kutosha. Koffi sasa anafanya kama kujifurahisha ila ana utajiri wa kutisha na bado hajafika huko Marekani.
Nani anaruka acha utumwa wa kifikra, yaani wewe unaangalia jina ila sio thamani jina, kwa hiyo kwako hesabu zilivyo kupiga chenga utachagua dollar.........daah halafu ww ndio upo Marekani.
Sasa sijajua mimi na ww nani anarukaruka, kwani mjadala wa dollars umeingiaje na nani kaunzisha, unahamisha magoli mwenyewe hata hujui unasimamia wapi.