Diamond sio Msanii wa Kimataifa kama anavyoaminisha watu

Diamond sio Msanii wa Kimataifa kama anavyoaminisha watu

Duu aisee yaani mwandiko wako na kile unacho kizungumza utakuwa umekaa American Chips Kinondoni.

Okay husihofu humu jamii forum ni ulimwengu mwengine kabisa, so lazima ujipakulie minyama hata mimi nishakaa sana UK miaka 4,US miaka 9.

kwamba kuwa marekani Big deal au?
 
Hizo suction si za juzi,hazina hata miaka mitatu,Koffi kaanza kuimba tokea miaka ya tisini huko kutengeneza hela ya kutosha. Koffi sasa anafanya kama kujifurahisha ila ana utajiri wa kutisha na bado hajafika huko Marekani.


Nani anaruka acha utumwa wa kifikra, yaani wewe unaangalia jina ila sio thamani jina, kwa hiyo kwako hesabu zilivyo kupiga chenga utachagua dollar.........daah halafu ww ndio upo Marekani.

Sasa sijajua mimi na ww nani anarukaruka, kwani mjadala wa dollars umeingiaje na nani kaunzisha, unahamisha magoli mwenyewe hata hujui unasimamia wapi.

Monde arabe ya koffi ilitoka mwaka gani?
 
kwamba kuwa marekani Big deal au?
Screenshot_20220325-220509_Chrome.jpg
 
huwez kujua kila kitu na sijakuambia hivyo ila nina advantage kubwa ya kujua zaidi kuliko anaishi bongo.
The way unavyojenga hoja humu ni sawa tu na anayeishi Bongo huna exposure yeyote kama kweli upo Marekani basi ujue exposure yako inazidiwa sana na watu wengi wa bongo

Hata baadhi ya watu unaobishana nao kwenye uzi huu angalia jinsi wanavyojenga hoja then jicheki na wewe kwa mtu mwenye akili anajua kabisa unatufunga kama haupo USA kama unavyodai wala nini!!.

Tatzo la hii Forum watu waongo huwa wasahaulifu sana leo hii mtu anaweza kuanzisha thread anaomba msaada wa kutengeneza baiskeli yake ya madafu halafu baada ya mwaka mmoja anasahau anaanzisha uzi wa kuulizia afanye nini na mtaji wa millioni mia alizozipata kwa kufanya kazi mwaka jana nchini marekani
 
The way unavyojenga hoja humu ni sawa tu na anayeishi Bongo huna exposure yeyote kama kweli upo Marekani basi ujue exposure yako inazidiwa sana na watu wengi wa bongo hata baadhi ya watu unaobishana nao kwenye uzi huu angalia jinsi wanavyojenga hoja then jicheki na wewe kwa mtu mwenye akili anajua kabisa unatufunga kama haupo USA kama unavyodai wala nini!!.Tatzo la hii Forum watu waongo huwa wasahaulifu sana leo hii mtu anaweza kuanzisha thread anaomba msaada wa kutengeneza baiskeli yake ya madafu halafu baada ya mwaka mmoja anasahau anaanzisha uzi wa kuulizia afanye nini na mtaji wa millioni mia alizozipata kwa kufanya kazi mwaka jana nchini marekani

kwasababu najua kwamba unataka tubishana ndomana natumia nafasi kukuchallege tu but sina muda wa kujitetea coz najua umejipanga kubisha.

so tunaenda the way unavyotaka coz tusipotezea muda wa kukuelewesh kitu ambacho hutoelewa
 
Wapi ambapo mimi nimebishana na wewe? Kwanza kuna comment yangu yoyote uliyoina kwenye uzi huu zaidi ya hiyo uliyoreply?
kwasababu najua kwamba unataka tubishana ndomana natumia nafasi kukuchallege tu but sina muda wa kujitetea coz najua umejipanga kubisha.
so tunaenda the way unavyotaka coz tusipotezea muda wa kukuelewesh kitu ambacho hutoelewa
 
Huo mwandiko wake sio wa mtu mwenye exposure kama anavyodai..kwa kumuangalia tu nimegundua kama hayupo chuo hapa bongo kwa sasa basi ni moja ya product ya chuo inayosubiri ajira mtaani..the way wewe unavyojenga hoja na yeye anavyojibu ni mbingu na ardhi

IMG_3604.jpg

Boost Mobile unaijua mkuu?.
Naona kuishi marekani issue sana kwako.
 
Ni kweli mkuu, Chinga ndio msanii wa kimataifa [emoji16][emoji16][emoji16].
 
Wewe ndo huna akili.
Kimataifa sio lazima Marekani..
Kutoka Tz Hadi nchi yeyote Ile hata Burundi ..ni kimataifa tayari
Huyu alikuwa na maana Diamondi ni wa kikanda zaidi kuliko global kama walivyo waasanii wa Nija.
 
Back
Top Bottom