PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Achana na hizo story mkuu
Be positive then, kwanini una makasiriko sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hizo story mkuu
hamna ila anachotaka kutuaminisha ni sawa na kusema elon musk sio tajiri namba moja duniani kwavile hana biashara inayooperate afrikakwani mleta nada amedai anamzidi jamaaa Hela😀😀
Na kwenye hiyo shoo walijaa wanyarwanda na warundi na baadhi ya wakongo, cha kushangaza huku bongo ni supastaa.Wacha weeeeh...!!
Alipiga shoo mbovu kishenzi na hata kucheza walikuwa hawajuwi, yaani hawaendani na beats......jamaa zake walikuwa bize wanaruka sarakasi na domo akawa anapiga kelele tu ili mradi achangamshe umati lakini wapi.Samahani kidogo, hapo kwenye shoo kuboa, ilisababishwa na nini!? Ni watu kuwa wachache ukumbi ukapwaya? Au ni yeye kupiga shoo mbovu!?
hamna ila anachotaka kutuaminisha ni sawa na kusema elon musk sio tajiri namba moja duniani kwavile hana biashara inayooperate afrika
Sasa kukaa Marekani ndio kujua kila kitu?Mkuu, ninaishi marekani zaidi ya miaka 6 now. CV yangu inapingana na unachosema.
Hivi MTV MAMA, MTV EMA x2 na Channel 0x3 sio tuzo kubwa?Point ni Diamond sio msanii wa kimataifa(hapa tunamaanisha kujulikana kama vile marekani maana ndo soko la mziki lilipo).
Nimechukua wasanii wote na hit zao naona Diamond hayupo coz hana hit song pili hana tuzo kubwa kama vile za wakina burna boy.
Elon ni tajiri wa dunia kwa sababu wamechukua watu wote duniani hakuna mwenye utajiri kama yeye.
Free course
Hivi MTV MAMA, MTV EMA x2 na Channel 0x3 sio tuzo kubwa?
Kuna wasanii wanajulikana Afrika still wana make mkwanja mrefu, Hivi unamjua Angelica Kidjo ,kamsomee na tuzo anazo miliki then utajua hata hao wa Nijeria wadogo kwa huyo mama.
Kwa hiyo wewe mkwako msanii ili awe wa kimataifa,lazima ajulikane US? Kama ndio hivyo basi Koffi, Fally Ipupa,Femi Kuti kwa mtizamo wako wa kitumwa wote sio wasanii wa kimataifa.Wewe ukizitoa nchi za Kiarabu kishapiga show zaidi ya 95% ya Afrika.
Ila sijui kwako Kimataifa lina maana gani, ila nimegundua walimu wana tabu sana huko mashuleni.
Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.
Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.
Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.
Diamond ni msanii wa africa pekee.
Wanaijeria walioko nje ya Nigeria ni zaidi ya mil. 40.kwa Nini wasijaze 02?ok msanii gani mwingine nje nanhao watatu anajaza 02 kwa hapa Afrika?
Kwani ukiwa na utajiri wa Riyal, Tsh huo sio utajiri?Unasikia mtu anasema fulani ana utajiri wa Dollors 200B. kwa haraka huwa unafikiri ni dollar ya nchi gani?.
Ndivyo ilivyo msanii anaposema nataka nifike kimataifa kuna nchi analenga.
full stop
Si umeona kukaa Marekani miaka sita, ndio kujua kila kitu?Halafu kumbe mweupe.Sijakuambia hvyo mkuu