Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 606
- 1,110
- Thread starter
- #41
Kuitwa wa kimataifa maana yake ni kutoka nje ya mipaka yako
Diamond,Alikiba,Harmonize wamekuwa wakipata show sehem tofaut tofaut kwenye bara hili la Africa hicho pekee ni kigezo cha kuitwa wa kimataifa
Diamond,Harmonize, Alikiba na wengine wamekuwa wakishindana kwenye tuzo South,Nigeria hilo pia ni kimataifa
Conclusion ; Acha upunguani unajisharirisha kuonesha chuki na msanii kutoka ndani ya nchi yako(we una nn zaid ya kubeba mabox huko? Kwa roho yako hii utarud nchini baada ya miaka ukiwa huna hata laki moja takataka wewe)
Wasanii wanapokuambia nataka mziki wetu ufike kimataifa, huwa hawamaanisha kufika kenye na uganda. naona wewe huelewi chochote, nenda ukawaulize.
Second: achane kujifariji kuwa marekani kuna maisha maguu. siri hiyo nimekupa kaa nayo akilini mwako.