Kwa hiyo wewe hit song ni hadi iwe kwenye trend ya Billboard? Jeje ilitamba huko, BET alikuwa nominated kama best African musician na alishindana na Burna Boy na Burna boy akashinda!Ana hit song gani marekani?
BET alikuwa kipengele gani?
So watu wote ambao wamepiga picha na dogg wanajulikana?
Unahisi ni kwanini inakuwa Hivyo kwani hakuna wasanii wengine wa Kumake headlines [emoji1787][emoji1787]Sijawahi kuperuzi JF siku mbili mfulilizo bila kukutana na nyuzi mpya kumuhusu Diamond Platnumz, iwe ni kwa uzuri au kwa ubaya.
Ila ana pesa za kumtoshaDiamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.
Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.
Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.
Diamond ni msanii wa africa pekee.
Kwa hiyo wewe hit song ni hadi iwe kwenye trend ya Billboard? Jeje ilitamba huko, BET alikuwa nominated kama best African musician na alishindana na Burna Boy na Burna boy akashinda! Diamond hakupiga picha na Snoopy mtaani alipiga nae wakiwa studio, sio watu wote hupiga picha na Snoopy wakiwa studio! na hili ni wazi kuwa anajuana na Snoopy! Ukipunguza kidogo chuki binafsi dhidi ya huyu kijana utaweza kuyaona mafanikio yake!
Hapo ndio kwenye shida sasa yaaani wewe unalinganisha hit song na kutoboa kwa level a Marekani na Ulaya, yaani unataka kumringanisha Diamond na wanamuziki wa Marekani wanaohit na waliotoboa huo....mlinganishe na waAfrika waliopo Afrika.Diamond hana hit song. jeje ni hit song kwa level ya tanzania.
Kujuana na snoopy haina maana marekani ametoboa.
Hiyo mitandao imeanza kuingia inchini au kutumiwa lini ukilinganishwa na nchi kama nigeria tuanzie hapa kwanza
Hata Polepole Ni wa kimataifa. Yuko Malawi.Wewe ndo huna akili.
Kimataifa sio lazima Marekani..
Kutoka Tz Hadi nchi yeyote Ile hata Burundi ..ni kimataifa tayari
Sikatai hizi facts ila kama unafuatilia huu mziki utanielewa! Diamond hana strems nyingi kwasababu zifuatazo;
Sikatai hizi facts ila kama unafuatilia huu mziki utanielewa! Diamond hana strems nyingi kwasababu zifuatazo;
1. Wabongo wako nyuma kwenye swala la streaming
2. Diamond hana album kwenye digital platforms! Album ya a boy from tandale ilitoka 2017/2018 na aliiweka mitandaoni ila kipindi hicho mambo ya streaming yalikuwa ngeni kwa wabongo wengi! Kama unafatilia mziki wake kwa sasa utaona jinsi gani FOA inavyomuongozea no kwenye streaming platforms!